Uteuzi Wanafunzi wa vyuo Vikuu hadi Sept 22 -TCU

Uteuzi Wanafunzi wa vyuo Vikuu hadi Sept 22 -TCU

Status
Not open for further replies.
Mijitu mizima, kichwani hamna kitu, yaani mtu akiona mnavyojadili utumbo hashangai kuona mambo mengi yamedorola kwenye hii nchi.

Eti lijitu linasema watu watalia na kusaga meno wakati kuna watu wana div 1 ambayo ww hujawahi kuipata maishani mwako, hawajajaza hivyo vyuo.

Kutokana na sababu mbalimbali ambazo kutokana na upeo wako mdogo wa kufikiri huwezi kuzielewa.
 
Mnazingua nyinyi,yaan mkifaulu kwa kuungaunga ndio matokeo Yake haya,

Na ukichunguza kwa makini wenye hilo joto la kuzungumzia TCU kila siku ni wenye kuanzia div2 pts 9 na div3 za hovyo afu waliweka machaguo ya kwanza vyuo vya maana, na mtakoma ndundule nyie.
 
Ukichaguliwa UD au Mzumbe ntakuona ww kidume.

Hebu jaribu kusema ukimaliza na GPA ya 4.6-5 nitakuona kidume, bila shaka bado hujamaliza chuo ukaja huku mtaani na bango lako la UD au mzumbe.

Utoto unakusumbua, haya bac watu wametemwa first round wana III za mwisho na wamekuta kuna kakozi ka UD kamebaki wakakijaza.
 
na ukichunguza kwa makini wenye hilo joto la kuzungumzia TCU kila siku ni wenye kuanzia div2 pts 9 na div3 za hovyo afu waliweka machaguo ya kwanza vyuo vya maana.....na mtakoma ndundule nyie

hili jamaa linajitahidi kulopoka, af ukute halihusiki kabisaa
 
Ufaulu wangu unakuhusu nini wewe?au ndio kipele cha makalio kinakuwasha?nilipoomba chuo nilikua na uhakika wa kuchaguliwa,ckuwah kufanya huo ujinga cjui alama nyekundu na nyeusi,

Mkuu nadhani umehamia kwenye mipasho. Ninazidi kupata mashaka na elimu yako.
 
mijitu mizima,kichwani hamna kitu.....
yaani mtu akiona mnavyojadili utumbo hashangai kuona mambo mengi yamedorola kwenye hii nchi..
.....eti lijitu linasema watu watalia na kusaga meno wakati kuna watu wana div 1 ambayo ww hujawahi kuipata maishani mwako,,,hawajajaza hivyo vyuo......kutokana na sababu mbalimbali ambazo kutokana na upeo wako mdogo wa kufikiri huwezi kuzielewa

Bora useme binafsi nina ufaulu mzuri tu wa kwenda UD au hiyo mzumbe ila binafsi sina desire na hivyo vyuo waache wanaofata jina la chuo.
 
kwa wale walio apply tcu second round na kuandikiwa yu have been selected, wamesha chaguliwa kwenye vyuo husika au la?
 
watalia na kusaga meno wap wakat vyuo walichagua wao wenyewe, wasiwasi wako tu, kama wale wa 22nd around washajua vyuo walivyopangiwa.
 
watalia na kusaga meno wap wakat vyuo walichagua wao wenyewe, wasiwasi wako tu, kama wale wa 22nd around washajua vyuo walivyopangiwa
 
na ukichunguza kwa makini wenye hilo joto la kuzungumzia TCU kila siku ni wenye kuanzia div2 pts 9 na div3 za hovyo afu waliweka machaguo ya kwanza vyuo vya maana.....na mtakoma ndundule nyie

end of thinking capacity
 
Saa 7 mchana. Tena siku hiyo kuna watu watalia na kusaga meno except watakaochaguliwa kwenda UD na Mzumbe.

Kwan umeskia wote wanataka kwenda ud na mzumbe?

Katka maisha yang yote ya kusoma sikuwah kufikiria kusoma mzumbe.
umebugi Meen......!
 
mijitu mizima,kichwani hamna kitu.....
yaani mtu akiona mnavyojadili utumbo hashangai kuona mambo mengi yamedorola kwenye hii nchi..
.....eti lijitu linasema watu watalia na kusaga meno wakati kuna watu wana div 1 ambayo ww hujawahi kuipata maishani mwako,,,hawajajaza hivyo vyuo......kutokana na sababu mbalimbali ambazo kutokana na upeo wako mdogo wa kufikiri huwezi kuzielewa

Bora unisaidie jamaa mana kuna watu vichwan mwao wana mchuzi wa samak si ubongo fikra za udsm zinawapeleka
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom