Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madogo mna kipele hadi mnaboa......khaaaaa sasa rangi za nini jamani???..........mnaboa madogo aiseee
Mnazingua nyinyi,yaan mkifaulu kwa kuungaunga ndio matokeo Yake haya,
Blue una vigezo vya iyo kozi na nyeusi huna vgezo vya iyo kozi (huna sifa)
mkuu ww ulifauluje?
Unamaanisha mtu aliyepata div 1.7 na aliyepata 2.8 ni sawa, hebu nieleweshe
Saa 7 mchana. Tena siku hiyo kuna watu watalia na kusaga meno except watakaochaguliwa kwenda UD na Mzumbe.
chek dogo
Saa 7 mchana. Tena siku hiyo kuna watu watalia na kusaga meno except watakaochaguliwa kwenda UD na Mzumbe.