Uteuzi Wanafunzi wa vyuo Vikuu hadi Sept 22 -TCU

Uteuzi Wanafunzi wa vyuo Vikuu hadi Sept 22 -TCU

Status
Not open for further replies.
Saa 7 mchana. Tena siku hiyo kuna watu watalia na kusaga meno except watakaochaguliwa kwenda UD na Mzumbe.
 
Saa 7 mchana. Tena siku hiyo kuna watu watalia na kusaga meno except watakaochaguliwa kwenda UD na Mzumbe.

mkuu unazifahamu zile combntn zetu za pcb,cbg, tcu wame urge nn?..kitu kinakuwa hewani kuanzi 00;05 am tar 22,yan kama utakuwa unalia unaamka asubuh chozi lishaisha kiroho safi unaendelea na mambo mengne
 
Jaman me mwenzenu, ndio sijisomi kabisa, jina langu liliappear kwa waliokosea application coz niliomba kupitia nacte, bt kila nikiingia kwenye profile yangu haina changes zozotena hakuna sign yoyote kunielekeza nimekosea wapi.

Nimejaribu kuwaemail wanifafanulie tatizo nikajibiwa acc niliyofanyia application imekamilika haina shida, so itakua ni technical problem, nashindwa kuelewa hiyo technical problem.

Mimi chuo ndio basi tena mwaka huu coz nishakonda siku 2 tu, msaada wazoefu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom