Uteuzi: Waziri wa Viwanda, Selemani Jafo afanya uteuzi wa Wajumbe 3 Wa Tume Ya Ushindani (FCC)

Uteuzi: Waziri wa Viwanda, Selemani Jafo afanya uteuzi wa Wajumbe 3 Wa Tume Ya Ushindani (FCC)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Saidi Jafo amefanya uteuzi wa wajumbe watatu wa Tume ya Ushindani (FCC)

Kulingana na taarifa iloyotolewa na Wizara ya Viwanda na Biashara, Waziri Jafo amefanya uteuzi huo kwa mujibu wa Sheria ya Ushindani, Sura 285, Kifungu 62 (6) na (7) ya mwaka 2003 pamoja na marekebisho yake

Wajumbe walioteuliwa na Mhe. Dkt. Jafo ni

i) Bw. Said Habibu Tunda, kutoka Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC, Dar es Salaam ambaye ameteuliwa kwa muda miaka mitano (5)

ii) Prof. Jehovaness Aikael kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ambaye atahudumu kwa muda miaka mitatu (3)

iii) CPA. Dkt. Shufaa M. Al-Beity kutoka Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM), Dar es Salaam ambaye pia atahudumu kwa muda miaka mitano (5).

Screenshot_20240912-084530.jpg

Soma Pia: Uteuzi Agosti 6, 2024: Rais Samia afanya uteuzi wa Wenyeviti wa Bodi mbalimbali
 
Back
Top Bottom