Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
huyu jamaa kumbe alikuwa Mzanzibari? mbona jina la wahehe au wazambia? mwenda ametokeaje zanzibar? namjua mwenda mmoja Jaji wa bukoba ila ni mtu wa Iringa ninavyosikia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali la msingiKafanya nin exceptional hadi awe mzuri?
Na nyie vichwa ubapa (flat screen mna nongwa) sane halafu mnajisahau Kuwaits asili yenu ni watumwa kutoka sehemu mbalimbali kama Malawi,Kongo,Tanganyika,Oman,Comoro,India .Zanzibar haine mwenyewe sote wahamiaji tumachogo hili mmelinyamazia kimya huyu jamaa kama alikuwa nikimuona kinondoni na makaburasha ya Chama cha CCM ni Raia wa Tanganyika,au mnasemaje .
Huyu ni mhehe baba yake mzee Mwenda alikuwa dereva wa halmashauri wilaya ya Kyela kwa muda mrefu hadi kustaafu.huyu jamaa kumbe alikuwa Mzanzibari? mbona jina la wahehe au wazambia? mwenda ametokeaje zanzibar? namjua mwenda mmoja Jaji wa bukoba ila ni mtu wa Iringa ninavyosikia.
Wezi wa kura ndio wanapenda!Huyu si alikuwa meya wa kinondoni na mmoja wa walioshiriki kumuibia kura Rasheed wa Kawe. Kifupi sio muadilifu ni mbadhilifu anakaa karibu na shule ya Hindu Mandali
Huyu mwanasiasa wa nini kwa nafasi hii? Au wanajiandaa kununua uchaguzi mkuu 2025.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amemteua Yusuf Juma Mwenda kuwa Kamishna wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB), kuanzia leo Machi Mosi, 2022
Kwa mujibu wa taarifa ya Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu mkuu kiongozi wa l iliyotolewa kwa vyombo vya habari kabla ya uteuzi huo Yusuf Juma Mwenda alikuwa mfanyakazi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
Yusuf Mwenda pia aliwahi kuwa diwani wa Mikocheni na Meya wa Kinondoni kuanzia mwaka 2010/ 2015
View attachment 2135427