Uteuzi: Yusuf Juma Mwenda ateuliwa kuwa Kamishna wa Bodi ya Mapato Zanzibar

huyu jamaa kumbe alikuwa Mzanzibari? mbona jina la wahehe au wazambia? mwenda ametokeaje zanzibar? namjua mwenda mmoja Jaji wa bukoba ila ni mtu wa Iringa ninavyosikia.
 
machogo hili mmelinyamazia kimya huyu jamaa kama alikuwa nikimuona kinondoni na makaburasha ya Chama cha CCM ni Raia wa Tanganyika,au mnasemaje .
Na nyie vichwa ubapa (flat screen mna nongwa) sane halafu mnajisahau Kuwaits asili yenu ni watumwa kutoka sehemu mbalimbali kama Malawi,Kongo,Tanganyika,Oman,Comoro,India .Zanzibar haine mwenyewe sote wahamiaji tu
 
huyu jamaa kumbe alikuwa Mzanzibari? mbona jina la wahehe au wazambia? mwenda ametokeaje zanzibar? namjua mwenda mmoja Jaji wa bukoba ila ni mtu wa Iringa ninavyosikia.
Huyu ni mhehe baba yake mzee Mwenda alikuwa dereva wa halmashauri wilaya ya Kyela kwa muda mrefu hadi kustaafu.
 
Huyu si alikuwa meya wa kinondoni na mmoja wa walioshiriki kumuibia kura Rasheed wa Kawe. Kifupi sio muadilifu ni mbadhilifu anakaa karibu na shule ya Hindu Mandali
Wezi wa kura ndio wanapenda!
 
Yusufu mwenda si yule shabiki wa simba anaekuwepo EATV kwenye kipindi cha kipenga?
 
Huyu mwanasiasa wa nini kwa nafasi hii? Au wanajiandaa kununua uchaguzi mkuu 2025.

Vv
 
Huyu jamaa anaonekana yuko vyema sana. CV yake imekaaje wakuu? Mtu ajitolee kutumwagia cv yake hapa na sisi tuwe motivated
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…