Elections 2010 Uthibitisho huu hapa!


Bull,
Hilo bange wenzio wanavuta usiku ili waote njonzi nzuri kuliko hili lako la asubuhi linalokutuma utapike utumbo!
 
Kwa wale waliokuwa hawaamini kuwa CCM wameiba kura fungua hii attachment uone jinsi chama hiki kinavyoendeshwa na mafisadi

Acha masihara unatuwekea file alifunguki! :bowl:
 
Duh, waungwana nimeona hiyo barua. Sijui CCM/NEC watasema nini tena juu ya hili.
 

Hayo unayoyaongea ni katika level ya Jahazi ya Clouds sio JF.
 
hawa jamaa ni kama jipu la ****.........................................watatusumbua sana kama wananchi hawataelewa haya wayafanyayo......:bowl:
 
wewe ni kalio tu!
 
Mbona iyo doc ina zaidi ya wiki apa jamani vip?
 
ushahidi gani bado mnautaka? funguen file hilo hapo juu kwa paulo hadi mwili unatetemeka kwa hasira
 
Jamani hii doc mbona haifunguki tangu jana inaonekana kama imeliwa na mdudu
 

Huu ni ukweli, hata kama utauma..... komaeni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…