MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,952
- 10,500
[emoji23][emoji23][emoji23]mayala na we ulipewa wapi mwaloni auu[emoji2][emoji2][emoji2]Jina ni lake kabisa maana alipewa hospitali, kwa vile hakuna majina yake aliyopewa alipozaliwa, wala hakuna majina ya wazazi wake, then ni majina yake aliyopewa, ila majina bandia ya kupewa tuu, hivyo sii kweli kuwa sii majina yake, ni yake ila bandia. Hata haya majina mengine yote tunayotumia, ni majina ya watu ambaoyo nasi tulipewa tuu kama na yeye alivyopewa!.
P
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app