Uthibitisho: Mwigulu Nchemba ni majina bandia ila vyeti ni vya kweli

Unavyolilia thamani ya Tanzania ipande unajua side effects itakazokuja nazo lkn?
 
Hakuna mamlaka ya kufanya hayo na hakuna utaratib wa utawala wa CCM wa kufatilia na kuchukulia hatua mamb hayo!! Bongo ni kanyaga twende ✔️
 
Wakati tunasoma ILBORU na Mh Mwigulo nilimuona akiwa na ndevu yuko O-level nikashangaa sana! Na ikabidi awe kaka Mkuu wa shule maana umri wake ulikuwa mkubwa akikaribiana na walimu , kiufupi alikuwa anasoma na vitoto na Kuna kitoto kidogo cheupe kifupi kilikuwa kinakuwa first kwenye mitihani watu wakawa wanamcheka Mh!

Mimi nilikuwa A level but yeye alikuwa mkubwa kuliko sisi wote darasa Zima wa A-level! This I say is the truth!

Sote tulijua ni repeater primary school!

But nakiri alikuwa Head Prefect mwenye akili na busara sana, wakorofi alikuwa akitushauri na kutusamehe makosa yetu makubwa maana alijua sote ni vichwa! Tulienda na A flat zetu A-level!

The guy is smart , nakumbuka akipata Div 1 japo alipitwa sana na vitoto vidogo, mambo ya vyeti vyake tumwachie, wana ILBORU wenzake tunaomba mjadala ufungwe, tujadili wengine!

Ila kauli ya kusema asietaka tozo ahamie Burundi haikubaliki atuombe msamaha school mates wake!
 
HHu

Njaa itakuuwa brother yani acheni kujipendekeza kwa watawala
Mtu anayejipendekeza angeweza kuandika haya? .
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…