Uthibitisho tena kuhusu dawa hii mpya ya ukimwi

Uthibitisho tena kuhusu dawa hii mpya ya ukimwi

Wrong wrong wrong wrong narudia tena wrong Azthromycin ni antibiotiQ kama zingine. Na hakna AntibiotiQ yenye uwezo waku muua virus. Tupe mechanism of action ya azuma. Na how inauwa virus kuthibitisha usemalo.

electron_delocalization04.png
images
 
REPEATION ON AZUMA FOR HIV and AIDS HEALING.

PROVEMENT...AZUMA is seriously treating and healing HIV and AIDS apart of treating STDs.

AZUMA inatibu na kuponya VVU na UKIMWI nje ya magonjwa ya zinaa.

NB.....Mafamasia, Madaktari na Manesi wapewe maelekezo jinsi ya kutambua Dawa zinavyoweza kutibu magonjwa zaidi ya moja kama AZUMA. Wasipotoshe Ukweli wa dawa hii kwa maslahi ya ARV.

Pia nunua AZUMA duka la madawa halafu soma karatasi ya maelezo yote utakuta kuna sehemu wamezungumzia kuwa ina tibu HIV.

Mawasiliano.......0764 13 45 70

Deogratius N Kisandu.
Mwalimu/Mkolani Sekondari....Mwanza.
View attachment 623354
Mkuu hongera Kwanza kwa post nzuri.
Lakini uzi wako hauna ukweli wowote ndani yake, una ushahid wowote wa kitaalamu na kile unachokisema
 
Maajabu anti microbial yani kwa ajili ya bacteria ifanye kazi ya anti viral mechanism mzee
 
Back
Top Bottom