Uthibitisho tena kuhusu dawa hii mpya ya ukimwi

Wrong wrong wrong wrong narudia tena wrong Azthromycin ni antibiotiQ kama zingine. Na hakna AntibiotiQ yenye uwezo waku muua virus. Tupe mechanism of action ya azuma. Na how inauwa virus kuthibitisha usemalo.

 
Mkuu hongera Kwanza kwa post nzuri.
Lakini uzi wako hauna ukweli wowote ndani yake, una ushahid wowote wa kitaalamu na kile unachokisema
 
Maajabu anti microbial yani kwa ajili ya bacteria ifanye kazi ya anti viral mechanism mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…