mcheza ngoma
New Member
- Sep 2, 2021
- 3
- 1
UCHUMI
Ili uchumi wetu uweze kupanda serikali lazima ipambane kuongeza thamani ya shilingi yetu kitaifa pamoja na kimataifa. Thamani ya shilingi yetu ni ndogo sana kulinganisha na fedha yingine hasa za kigeni na hii imekuwa sababu kubwa sana ya kushuka kiuchumi siku hadi siku mfano dola moja ya marekani ni sawa na sh 2,332 za kitanzania.
Hii inamana tunatumia fedha nyingi sana kuagiza vitu kutoka ulaya pia mataifa hasa ya ulaya yanatumia fedha kidogo kununua vitu kutoka kwetu. hii inachangiwa na udhaifu wa shiling yetu kitaifa na kimataifa
Pia nipende kuiomba serikali kuondosha sheria ngumu za ulipaji kodi mfano(Tax enforcement laws)hasa kwa walipa kodi hasa kwa wale walio shindwa. Mamlaka za ukusanyaji kodi zimekua zikifungia biashara kwa wafanyabiashara wakwepa kodia au walioshindwa kadisa kulipa kodi kwa wakati. hali hii imepelekea biashara nyingi kufa na uchumi wa nchi kushuka.
ELIMU
Udhaifu wa elimu yetu unachangiwa na mambo mengi sana mfano matumizi ya lugha za kigeni kama kingereza, kigiliki,kifaransa, nakazalika lugha hizi zimekuwa kikwakwazo kibubwa kwenye maedeleo ya elimu yetu mfano misamiati migumu imekua ikiwapa shida kubwa wanafunzi kiuitamka, kuziandika na hata kuzisoma mfano kwenye masomo kama jiografia, biolojia, fizikia, kemia nk. masomo haya yana misamiati migumu na misamiati hii imekuwa ikileta changamoto kubwa kwa wanafunzi
Kuna mataifa makubwa dunia ambayo yamekua yakitumia lugha zao za kitaifa kiufundishia pamoja na kusome na mataifa haya yamepiga hatua kubwa kwenye elimu, kiuchumi na hata kisayansi mataifa haya ni kama China,Japani,Korea,Russia nk. lakin sisi wafrika bado tunatumia kingereza na lugha zingine za kigeni kufundishia na bado elimu yetu ni dhaifu. Hatuoni kuna umuhimu wa kuiga maifa haya huwenda ikawa sababu ya elimu yetu kupiga hatua.
Utawala Bora
Utawala bora ni ufanisi,uwajibikaji,utashi,uwazi. Utawala bora ni umoja, utawala bora ni kuunganisha watu bila kujali itikadi zao na si kuwatengano, utawala bora ni upendo na si chuki, utawala bora ni ushiokiano
Utawala bora ni hekima busara, utawala bora ni kufanya maamuzi yaliyo sahihi. Utawala bora ni kusimamia haki na si kupendelea upande mmoja na kugandamiza mwingine.
Utawala bora Imani hofu ya kutenda mambo maovu, utawala bora ni kutetea hakiza wanyonge zidi ya wenye nguvu. Utawala bora ni kiridhika na kile unachopata na si kujilimbikizia mali ya umma, Utwala bora ni kutengeneza njia kwa kizazi au jamii kitakacho kuja.
Utawala bora ni ushupavu dhidi ya maadui, utawala bora ni kusimamia maamuzi na kutovuka mipaka ya kisheria
Sayansi na Teknolojia
Dunia ya sasa inaendeshwa na sayansi na teknoloojia lakini kwa mataifa mengi ya afrika tumeavhwa na dhana hii. Sayansi na teknolojia imetuacha mbali ndio sababu tunafaidika kidogo kutokja kwenye sayansi na teknolojia lakini laiti kama tungetumia teknolijia ipasavyo tungepata faida kubwa sana mfano vijana wengi tupo mtaani tuna simu, kompyuta pamoja na vishikwambi lakini hatuna ajira kwa mataifa mengine vifaa hivyi ni ajira na vijana wengi wamekuwa wakitumia vifaa hivyi kujipatia fedha za kuendesha maisha yao.
Ninayo imani na sisi kama tutaweza kuvitumia vifaa hivyi kifanisi vinaweza vikawa chazo cha ajira na tukaacha kukaa mitaani kusubiri ajira za serikali. Mfano wengi tuna simu na compyuta ambazo zina (youtube application) lakini hatuna (yuotube channel ), tofauti ni kwamba youtube application inakufanya unatumia pesa ila youtube channel inakiupa pesa. Kwahiyo tubadilishe mitazao yetu baada ya kutumia vifaa hivyi kwa ajiri ya burudania na mawasiliano tutumie pia kupata pesa.
Kilimo
Kilimo ni uti wa mgongo wa mtanzania lakini ni aina gani ya kilimo ya kilimo inaweza kuleta tija na mafanikio bira shaka ni kilimo bora. Dhana ya kilimo bora imekiua haipewi kipaumbele kwa wqakulima wengi sana nchini. Wakulima wengi wamekua wakijihusisha na kilimo bila kujali misingi na kanuni za kilimo bora elimu ndogo imeendelea kua kikwazo kikubwa cha maendelea ya kilimo tanzania wakulima wengi wameku wakijihusisha na kilimo cha asili huku mbinu za jadi zimekua zikitumika maeneo mengi mfano matumizi ya jembe la mkono, upandaji horela wa miche pamoja na matumizi yasiyo sahihi ya mbolea.
Ili tufikie dhana ya kilimo bora tunatakiwa tuwekeze kwenye kilimo cha kisasa kilimo kitakacho husisha sayansi na teknolojia mfano matumizi ya (drone) au ndege ndogo kwa ajiri ya kupulizia dawa mashine za kupanda na kuvuna mazao pamoja na ,mashine za kulimia. Mfano mashamba ya wanbao yaliyopo mozambique yanayoendeshwa na watu wa china mashamba haya yamekua na mafanikio makubwa sababu yanatumia kilimo cha kisasa.
Afya
Afya ni mali taifa amablo wanachi wake hawana afya bora ni ngumu sana kuendelea na kujenga uchumi ulio kuwa bora. Watu wengi sana wafrika hatuna utamaduni wa kucheki afya zetu mara kwa mara kwa kufanya vipimo mbalimbali aun kupata ushaiuri kutoka kwa wataaramu wa afya. Imani kubwa tumiweka kwenye kukusanya malikuliko kuboresha afya zetu mfano wakulima wanalima mazao tofauti taafuti lakini sehemu kubwa inauzwa na sehemu ndogo inaachwa kwa matumizi ya chakula, wafugaji pia maziwa na nyama huuzwa hii imepelekea watoto wengi kuwa na matatizo ya utapia mlo, kiriba tumbo pamoja uwezo mdogo wa kufikiri.
Elimu lazima itolewe taasisi ya vyakula na lishe lazma itoe elimu namna bora ya kulinda afya pia ihamasishe watu kuboresha afya zao kwa kutumia vyakula. Pia serikali iongeza huduma za afya hasa kwa maeneo ya vijijini
MWISHO