Uthubutu katika biashara

Uthubutu katika biashara

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Habari za jioni guys

Now days kila mtu anataka kufanya biashara kutokana na mabadiliko ya mfumo wa maisha kuna baadhi ya watu wameaza kusemea tangu mwaka 2009 up to day hawajafanya wengine pesa wanapata ila wakipata wanasolve matatizo mengine wengine kula kujigalagaza na wengine hawajapata mtaji.

Lakini pia kuna watu wanathubutu lakini ndio ivyo tena biashara inaenda sivyo kuna kipindi nilikuwa natoa dagaa nyasa kule nyasa Ruvuma bei ilikuwa mzuri sado ilikuwa buku jero kwa buku ukipeleka mkoani unauza 6000.

Ikaenda demand ikawa ndogo supply kubwa sasa akaibuka mzee mmoja akaja sokoni na dagaa kutoka Ruvuma kumbe aliongopewa kipindi anakuja kufanya biashara dagaa ilikuwa inauzwa 7000 kwa 8000 kule bei ya jumla nayo ikapanda ikawa 5500 matokeo yake alikuja kuuza sado 2000 kutokana na wateja kupotea aliuza wiki moja wakat huo wengine tuliagiza mara mbili.

Huyu alikuwa na uthubut lakini demande ilivyo change kwake ikawa mbaya kwahiyo kwa mtu ukishaona ivyo usikate tamaa jaribu tena kwa wakati mwingine, wafanya kazi wengi wana tamani kuanzisha ila hawana wasimamizi na wengine wanafilisiwa na ndugu usimwamini mtu kwenye biasha kulita upole hutokuja kuona faida.

Muda mwingine usiombe ushauri kwa watu wengi hujui yupi adui hakuna mtu anaependa kuona unafanikiwa bali wanapenda waone kila siku una waangukia kuomba mkopo kwao, ukitaka kufanya jambo la maendeleo fanya na usimshirikishe mtu.

Sehemu za kuwekeza kilimo, uvuvi, ufugaji na online investment.
 
Mkuu
nimejifunza kitu hapo.
ngoja nitulie nijifunze zaidi kutoka kwa wenye uthubutu na ujasiri wa kuwekeza
Ni muhimu zaidi kufanya utafiti wa biashara yako ambayo unatamani kufanya sokoni kupoje, mfano biashara ya nguo kwa Dar big no ukiweka duka Sinza watu wa Sinza wananunua bidhaa kwa majina so kwako itakuchelewesha kufaidika.
 
Mafanikio yanahitaji watu na Mungu wako
Lakini unaweza ukawa na Mungu ila usiwe na maarifa unalijua ilo?

Mfano wachungaji siku hizi wanaombea watu wapate magari viwanja nyumba, mtu huyo wanae muombea hayo yote hana kazi yoyote anakaa kwenye nyumba ya urithi haya huyu mtu how atapata ivyo vyote kama hana maarifa kitu muhimu katika maisha na ombi zuri kwa Mungu omba sana akupe maarifa na uwezo wa kuchambua taarifa
 
Ni muhimu zaidi kufanya utafiti wa biashara yako ambayo unatamani kufanya sokoni kupoje, mfano biashara ya nguo kwa Dar big no ukiweka duka Sinza watu wa Sinza wananunua bidhaa kwa majina so kwako itakuchelewesha kufaidika.
Kwa kweli mkuu nikisomaga nyuzi humu napataga motivation sana.

tuseme nataka kufanya investment kwenye biashara ambayo nakosa hata mtu wakunipa experience ya namna ya ku run hiyo biashara.
 
Fwatilia aukaa nao karibu watu ambao wanfanya hiyo biashara
 
Tatizo linakuja hapo!
nifunge safari mpaka kwa wahindi kariakoo niwaombe . "teach me how to run printing business /billboards, mabango, stickers nk."

mkuu unadhani inawezekana ,
kwa mfano wangu hapo?

kwamaana ninaweza nikawa na mtaji wakununua machine na kila kitu lkn nikaja ku-opperate biashara kwa hasara .... nk
 
Ni muhimu zaidi kufanya utafiti wa biashara yako ambayo unatamani kufanya sokoni kupoje, mfano biashara ya nguo kwa Dar big no ukiweka duka Sinza watu wa Sinza wananunua bidhaa kwa majina so kwako itakuchelewesha kufaidika.
✊🏻✊🏻
 
Kwa kweli mkuu nikisomaga nyuzi humu napataga motivation sana.

tuseme nataka kufanya investment kwenye biashara ambayo nakosa hata mtu wakunipa experience ya namna ya ku run hiyo biashara.

Hakuna biashara ngeni
Kubali kuwa chini.

Ngoja nikupe ushuhuda.

Nilianza biashara ya vinywaji kwa mtaji wa mil 6 (bidhaa)
Ila kweye uwanja nilikutana na ma-giant wenye mtaji mara Kumi na wangu (mil 60)

Katika kuchunguza hao ma-giant niligundua Kuna mmoja ana moyo wa kufunguka (roho safi).

Huyu nilimfanya mshikaji wangu.

Nilianza kwanza kwa kumuungisha, yaani mteja akitaka bidhaa naenda kwake nanunua then nampelekea mteja (kama hiyo bidhaa Mimi sina).

Ghafla yule jamaa akani-note.
Akawa ananipa discount ya Mimi kupata angalau mia 300.

Ila Mimi lengo langu ni kumchimba anipe info.

Kiutani utani nikawa nikienda dukani namtania mara nakua serious ghafla akawa mshkaji.

Alinipa sanaa madini.
Madini yake nikayatumia sanaa.

Kwasasa biashara kubwaa sanaa.

Nina bidhaa (vinywaji vingi sanaa)

Kifupi na Mimi Nina jina sokoni (Liverpool Liqour store).

Ila bila utundu wangu na uelewa wa yule jamaa NISINGEKUWA HAPA.

Sasa hivi na run fasta ila kwa tahadhari.

Nilichojifunza "Wale wakubwaa wotee uliowakuta kwenye game, sio Competitor wako ila ni MENTOR WAKO"

Ukielewa utofauti wa competitor na mentor LAZIMA UTOBOE.

#YNWA
 
barikiwa mkuu .
i will repeat reading your advice for healthy amount of time.
 
" Unao wakuta kwenye Game sio competitors wako ni Mentors"

NIMEIPENDA❤️
 
Nimekuelewa mkuu ngoja nijitafute na mimi
 
Back
Top Bottom