Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Habari za jioni guys
Now days kila mtu anataka kufanya biashara kutokana na mabadiliko ya mfumo wa maisha kuna baadhi ya watu wameaza kusemea tangu mwaka 2009 up to day hawajafanya wengine pesa wanapata ila wakipata wanasolve matatizo mengine wengine kula kujigalagaza na wengine hawajapata mtaji.
Lakini pia kuna watu wanathubutu lakini ndio ivyo tena biashara inaenda sivyo kuna kipindi nilikuwa natoa dagaa nyasa kule nyasa Ruvuma bei ilikuwa mzuri sado ilikuwa buku jero kwa buku ukipeleka mkoani unauza 6000.
Ikaenda demand ikawa ndogo supply kubwa sasa akaibuka mzee mmoja akaja sokoni na dagaa kutoka Ruvuma kumbe aliongopewa kipindi anakuja kufanya biashara dagaa ilikuwa inauzwa 7000 kwa 8000 kule bei ya jumla nayo ikapanda ikawa 5500 matokeo yake alikuja kuuza sado 2000 kutokana na wateja kupotea aliuza wiki moja wakat huo wengine tuliagiza mara mbili.
Huyu alikuwa na uthubut lakini demande ilivyo change kwake ikawa mbaya kwahiyo kwa mtu ukishaona ivyo usikate tamaa jaribu tena kwa wakati mwingine, wafanya kazi wengi wana tamani kuanzisha ila hawana wasimamizi na wengine wanafilisiwa na ndugu usimwamini mtu kwenye biasha kulita upole hutokuja kuona faida.
Muda mwingine usiombe ushauri kwa watu wengi hujui yupi adui hakuna mtu anaependa kuona unafanikiwa bali wanapenda waone kila siku una waangukia kuomba mkopo kwao, ukitaka kufanya jambo la maendeleo fanya na usimshirikishe mtu.
Sehemu za kuwekeza kilimo, uvuvi, ufugaji na online investment.