Unapikia kwa kutumia nishati gani hivi vitu?
Mvua ikinyesha au jua Kali unakaa wapi kufanya biashara yako?
Rudia tena mchanganuo wa hesabu zako Mr Finest
Tofauti ni ipi hapo kati ya mfanyabiashara na mjasiriamali?Elimu/makuzi yetu hayajatuandaa kuwa wajasiriamali bali wafanya biashara.
Hatuwez kutoboa kwa idea za biashara hizi ambazo kila kona ya nchi zipo.
Utapata hela ya kula tu.
Wazo la kijasiriamali ndio linahitajika.
Swali zuri sana, zipo tofauti tena kubwa nikipata muda nitaziweka hapa mfano tuTofauti ni ipi hapo kati ya mfanyabiashara na mjasiriamali?
Naam nimepata mwangaSwali zuri sana, zipo tofauti tena kubwa nikipata muda nitaziweka hapa mfano tu
mfanya biashara ataenda mbeya atanunua mchele kwa magunia na kuja kuuza hivyo hivyo sokoni dar na kupata faida kawaida tofauti na mjasriamali hujiongea zaidi kwa kuongeza thamani ya bidhaa, huduma n.k
Yeye mjasriamali atau park kutoka kwenye gunia kusafisha polish kuufunga kilo moja moja na kuweka lebal ya jina la biashara yake na kuuzia madukani , supermarket n.k kwa faida kubwa zaidi.
Natumaini utakuwa na mwanga sasa wa tofauti zao
Elimu/makuzi yetu hayajatuandaa kuwa wajasiriamali bali wafanya biashara.
Hatuwez kutoboa kwa idea za biashara hizi ambazo kila kona ya nchi zipo.
Utapata hela ya kula tu.
Wazo la kijasiriamali ndio linahitajika.
ano wa wazo lako hilo la kijasiliamari
Unaweza leta wazo la kijasiliamari tioneElimu/makuzi yetu hayajatuandaa kuwa wajasiriamali bali wafanya biashara.
Hatuwez kutoboa kwa idea za biashara hizi ambazo kila kona ya nchi zipo.
Utapata hela ya kula tu.
Wazo la kijasiriamali ndio linahitajika.
Matunda mengi yanapatikana hapo.Kwanini Kilombero
Sijui alifanyaga nn yaani...Mbona huyu mwamba alikula ban ya muda mrefu sana
Ni muda sana kila siku nikimchungulia nashangaa bado ban ipoSijui alifanyaga nn yaani...
Alikua very positive ....mayb ana id nyingineNi muda sana kila siku nikimchungulia nashangaa bado ban ipo
Nilikua interested sana na hii kitu ila huwezi amini leo ndio naona jibu lako, na mbaya zaidi mtaji ni kipengele ila km ungekua na A, B, C za biashara husika ingefaa zaidi....nitangulize shukraniMzuzu..kunafikika
Usikute kwa sababu ya huu uzi, si kuna habari pia kuwa ulifungiwa sijui? Yani kuna mambo huwa zinatokea ni ngumu kuzielewa.Sijui alifanyaga nn yaani...
Mambo gani tena mkuu? SidhaniUsikute kwa sababu ya huu uzi, si kuna habari pia kuwa ulifungiwa sijui? Yani kuna mambo huwa zinatokea ni ngumu kuzielewa.
Kwa mtu ambaye hakuwahi fika huko, yani knows nothing....for instance may be usafiri mkuu wa kufika eneo husika ni garimoshi, basi e.t.cMambo gani tena mkuu? Sidhani
Barabara ni mbovu balaa kipindi hiki cha mvua...Kwa mtu ambaye hakuwahi fika huko, yani knows nothing....for instance may be usafiri mkuu wa kufika eneo husika ni garimoshi, basi e.t.c