Hili jambo ni zuri sana, wenzetu kenya wanajua kutumia instituations vizuri katika kuuza mawazo yao, nitakuPM namba yangu
Wazo zuri sana.Tatizo la watanzania wengi ni matapeli/wadanganyifu katika 45 sijui kama patakosekana angalau watatu watakaofikiria kunufaika kwa haraka kupitia wenzao thru utapeli/udanganyifu hii ni shida kubwa sana hapa Tanzania.
Mm nashauri km idadi imetimia lianzishwe group kwny mtandao wa kijamii unaoruhusu huo mtindo,huko tuendelee kijadili hatua za kuchukua.
Unashauri nn kifanyike sasa
Naruhusiwa kuanzisha group whatsapp ?napataje mamba zenu
kwa wale waliokuwa interested wanaendelea na discussions on how make an idea great and this coming weekend are meeting for the first time..all is good ahead
It is people like you who are problem,why brought it up?is it so hard for you to focus the issue in the table than blah!blah and yiddi yaddah!! changia mukhtadha mkuu bana wacha kutuletea mada mchepuko!Hapa ungeleta mada ya uchawi ungepata watu wengi lakini hili la kutumia ubongo hakuna jinsi tunavyopenda shortkati
kwa wale waliokuwa interested wanaendelea na discussions on how make an idea great and this coming weekend are meeting for the first time..all is good ahead