Uthubutu: Kiwanda cha JF members

Uthubutu: Kiwanda cha JF members

Uzuri wa wazo usiishie kusifia tu,wadau tulifate kwenye group kulitengeneza na kulipa uhai kutekelezeka
 
Mm nashauri km idadi imetimia lianzishwe group kwny mtandao wa kijamii unaoruhusu huo mtindo,huko tuendelee kijadili hatua za kuchukua.
 
Wazo zuri sana.Tatizo la watanzania wengi ni matapeli/wadanganyifu katika 45 sijui kama patakosekana angalau watatu watakaofikiria kunufaika kwa haraka kupitia wenzao thru utapeli/udanganyifu hii ni shida kubwa sana hapa Tanzania.

Unashauri nn kifanyike sasa
 
Unashauri nn kifanyike sasa

Mimi si mtaalamu wa sheria lakini kama kuna namna ya kuwabana watu kisheria kuepuka mambo kama hayo ni vyema ikafuatwa.Watu wasichukulie mambo kirahisi,wengine imetugharimu sana kuchukulia mambo"kijamaa".Watanzania wamebadilika sana,wamekuwa watu wa hovyo kwelikweli.
 
hii ni idea nzuri ,lakini cya kwanza mjue ni business gani mnataka kuanzisha ,then work from there
mimi ni mtaalam wa manunuzi na utawala so ninaweza kuleta inputs when it comes to supply chain related issues na kubana manunuzi hewa au fraud in all procurement related areas
 
Hapa ungeleta mada ya uchawi ungepata watu wengi lakini hili la kutumia ubongo hakuna jinsi tunavyopenda shortkati
It is people like you who are problem,why brought it up?is it so hard for you to focus the issue in the table than blah!blah and yiddi yaddah!! changia mukhtadha mkuu bana wacha kutuletea mada mchepuko!
 
Thomas kaka vp mbona group lina jadili mambo hayo hayo tu kwani limeanza kuchosha tayari Kwanini kama tupo tayari basi tuanze rasmi kwani mawazo ya binadamu huwa yanapenda kubadilika KILA wakati basi tuanze mchakato wa hoja nzito ili tuweze kusonga mbele zaidi...tupo pamoja boss..
 
Last edited by a moderator:
kwa wale waliokuwa interested wanaendelea na discussions on how make an idea great and this coming weekend are meeting for the first time..all is good ahead

Inafanyika wapi hiyo discussion?
 
ata mimi nilipenda sana wazo lenu ila tatizo ni kuwa nipo mbali kijiografia anyway wadau all the best ila ntakuwa nanyi bega kwa bega. ahsanteni.
 
Back
Top Bottom