UTI inaweza kuathiri mfumo wa uzazi?

UTI inaweza kuathiri mfumo wa uzazi?

Ikichelewa kutibiwa UTI huharibu figo na kwa wanaume husababisha kuvimba kwa tezi dume
 
Ntajibu hii thread kwa BIAS ya upande wa kike kwa sababu zilizo wazi i.e kwanza kwa kukisia jinsia ya mleta hoja ila nje na hilo jinsi inayosumbuliwa na hili tatizo kwa sana!

Kwanza lazima uelewe UTI ni nn?
Nasema hivo sababu wanawake wengi anaweza kuja kwa daktari akakwambia anahisi ana UTI sababu anatoa harufu kwenye uke!

UTI ni kifupi cha Urinary tract Infection au ni maambukizi katika mfumo wa Mkojo kuanzia kwenye mrija wa mkojo kuja kwenye kibofu kupanda mpaka kwenye figo japo ikifika huko jina huwa tunalibadirisha ila inabaki kuwa UTI.

Kama ulizinagtia shule ya sekondari, sana sana lile la biolojia ambalo mfumo wetu wa elimu umelifanya compulsory kwa makusidi kabisa ili ktusaidia huko mbeleni hata kama tutasoma msaomo ya sanaa,utakumbuka mfumo wa uzazi na mfumo wa mkojo ulivyo!

Kama haukumbuki rejea hii picha hapo chini

anatomy-of-woman-s-bladder-the-female-urinary-tract-saint-luke-health-system.jpg

Ukiangalia hiyo picha utagundua hakuna muunganiko wa mfumo wa mkojo na wa uzazi isipokua pale mkojo unapotokea!

Katika sayansi kuna kitu kinaitwa ASCENDING INFECTION kama unaelewa kingeli utagundua ni infection inayotoka chini kupanda juu kwenye mfumo huo huo!
e.g unapata infection kwenye mrija wa mkojo ila inapanda kwenda kwenye kibofu.

Lakini pia lazima ujue wadudu hatari kwa mfumo wa uzazi i.e wale wadudu wanaosababisha Magonjwa ya zinaa kama gonorrhea na chlamydia. Utakua unaelewa hapa naongelea PID i.e Pelvic inflammatory disease.

Wadudu wengi wanaosababisha UTI (wengi wao ni wale wanaokutwa kwenye njia ya chakula), ndo maana tunawashauri wanawake mnapoenda kutawaza e.g kwa tissue paper,suichambe kutoka juu kushuka chini bali utoke chini kwenda ili kuzuia wadudu hawa kukaribiana na mrija wako wa mkojo!

wadudu hawa hawana shida sana na mfumo wako wa uzazi kama hao nilowataja hapo juu(wale wa magonjwa ya zinaa)!

hivo nipende kukutoa hofu kwamba magonjwa hatari kwa afya ya mama ya uzazi hayahusiani kabisa na UTI na katika matibabu ya hospitali kama una infection kwenye njia ya kizazi daktari makini hatohangaika na kukupa dawa za kuua wadudu wa UTI!
 
View attachment 818318

No addition,umeelezea simple na kueleweka.
Pia hapo kwenye kutawaza ama kujisafisha kuna wanawake wanaotumia sabuni kufanya hivo kama vile dettol ambayo si sawa kwa maana kufanya hivo huwa kunaua bacteria rafiki (normal flora) ambao hukinga zidi ya bacteria hatari na hivo kufanya eneo hilo kushambuliwa mara kwa mara.
 
Back
Top Bottom