UTI- Naomba msaada kupata ufumbuzi wa hili tatizo

UTI- Naomba msaada kupata ufumbuzi wa hili tatizo

Nijuavyo Mimi kutoka usaha sio uti tena na ndio maana dawa hazifanyi kazi! Ushauri wangu ukapime japo inajionesha dhahiri hiyo ni gonorrhea na matibabu yake yapo japo unavyozidi kuchelewa unaweza pata matatizo kwenye mfumo wa uzazi
 
Nina kama mwezi hizi nilikua nasikia muwasho na maumivu nikikojoa, nikaenda hospitali nikapipa nikaambiwa nina UTI nyingi, Nikapewa dawa inaitwa NITROFULANTION nikamaliza dozi ila bado nikaendelea kupata shida, nikaenda kupima tena nikaambiwa bado tatizo lipo nikapewa dawa inaitwa NIRFLOXACILIN nimemaliza dozi jumapili, bado shida ipo na nimeanza kutoka usaa kidogo sasa nimechanganyikiwa naomba ushauri wa dawa sahihi ili tatizo langu liishe. naomba kuwasilisha.
Unamda gani na tatizo[emoji101]
 
Back
Top Bottom