UTI- Naomba msaada kupata ufumbuzi wa hili tatizo

Nijuavyo Mimi kutoka usaha sio uti tena na ndio maana dawa hazifanyi kazi! Ushauri wangu ukapime japo inajionesha dhahiri hiyo ni gonorrhea na matibabu yake yapo japo unavyozidi kuchelewa unaweza pata matatizo kwenye mfumo wa uzazi
 
Mlonge ni kiboko ya U.T.I sugu
 
Unamda gani na tatizo[emoji101]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…