bukenyaimo
Member
- Oct 21, 2021
- 99
- 291
Logically itakuwa Wa MunguOldonyo Lengai = Mlima wa Mungu sasa hapo Lengai sijui ni ipi
Ahahahahaaaa [emoji16][emoji23][emoji1787]. Kama Maghufuli hakuperekwa ndiyo aje aperekwe mfungwa wa ki Tanzania ?!.Ole sabaya apelekwe SA au Germany kwa matibabu zaidi!
Hivi ni serious jamaa Yuko ndani sio kwamba atapata privilege za kulala kwake kwa Siri.Kweli isikilizwe tu hakuna namna maana hachomoki
Kwani tayari mwamba kavunjwa mgongowahuni sio watu, wamemvunja mgongo mapema hivyo
Naambiwa βmgoloβ ukiguswa utaumwa uti wa mgongo. πππππ Sabaya ajikaze tu atazoea mwanzo mgumuπππWatu wamekula mgongo tayari
Unamaanisha wamempelekea moto sana.πwalimpiga sana..anahali mbaya
Machalii wana mitarimbo siyo ya kitoto,kapigwa nje ndani za kijelajelaameguswa kingo ya utumbo mkubwa mpana
Kale kadogo kalikofungwa nae silvester nyegu ndio nakaonea huruma...Duuh! Karma ni kitu mbaya sana ikikuandama
Siri gani?! Huoni alivyopauka?Hivi ni serious jamaa Yuko ndani sio kwamba atapata privilege za kulala kwake kwa Siri.
Kwa garama za nani? Kwani mgongo wake unatofauti gani na wanaotibiwa hapa nchini?Ole sabaya apelekwe SA au Germany kwa matibabu zaidi!
Mahakama ya hakimu mkazi Arusha imeahirisha kwa mara nyingine shauri la uhujumu Uchumi linalomkabili aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro Lengai ole Sabaya na wenzake sita baada ya mshitakiwa Sabaya kuendelea kuwa mgonjwa.
Jana Novemba 3 mwaka huu mahakama hiyo iliahirisha shauri hilo baada ya kuarifiwa kuwa mshtakiwa namba moja (Sabaya)anaumwa na hakuweza kufika mahakamani na kupanga kesi hiyo kuendelea Leo (jana), ambapo shahidi wa saba wa jamhuri ambaye ni Ofisa wa Tehama wa Benki ya CRDB Kanda ya Kaskazini, Jofrey Nnko angeendelea kutoa ushahidi wake.
Akizungumza mahakamani hapo, Wakili wa utetezi Mosses Mahuna aliieleza mahakama kuwa mtuhumiwa huyo wa kwanza bado ni mgonjwa na kuwa ametoa ruhusa kesi hiyo iendelee kusikilizwa bila yeye kuwepo.
Ama kweli jukwaa hili ni stessless aisee nimecheka kama taahira[emoji2956][emoji28][emoji38][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naambiwa βmgoloβ ukiguswa utaumwa uti wa mgongo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sabaya ajikaze tu atazoea mwanzo mgumu[emoji3][emoji2][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ameguswa kingo ya utumbo mkubwa mpana
Kama kuna mzee alimzalilisha mpaka aibuNa bado unafikiri laana itamuacha ya kutesa wasio na hatia?