LordJustice1
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 2,263
- 532
"Kadhalika nyinyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu; na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi kuomba kwenu kusizuiliwe." (1Pet. 3:7).sawa kabisa eiyer! hiyo 25 % iliyobaki ni ile sehemu ya 'Mwanamke atamlinda mwanaume'. Kuna vitu ambavyo mwanaume akifanya huwezi kutii tu kwa sababu eti ni mume. Tupo kwa ajili ya kulindana,penye udhaifu unakuwa mkali kidogo la sivyo mwenzako atapoteza uhai, kazi na hata heshima yake kwenye jamii! tunaonyana na kukemeana kwa upendo
In every General Rule, there are special cases!mmmh! Wengine hata uwape nini hawaridhiki!
Mi nipe Avatar yako, hakyanani ntaridhika.LOL Watu mna makusudi nyie? Wengine tuko maofisini afu tumechomekea mashati...mmmh! Wengine hata uwape nini hawaridhiki!
mmmh! Wengine hata uwape nini hawaridhiki!
Kama mwanamke alivyoumbwa, intrinscally, na desire ya kuonyeshwa kuwa anapendwa na kujaliwa; mwanaume ameumbwa, intrinscally, na desire ya ku-exercise authority.Umejitahidi ila uliposema maisha ya mwanamke yamejaa huzuni na mapungufu unless anatawaliwa somewhere umeangukia uso....yani naomba niseme umepotoka.Labda ungesema baadhi ungeleeweka zaidi na mimi ningekubaliana na wewe kwasababu najua wapo wanawake ndoa/mahusiano kwao ni zaidi ya HITAJI na SIO TAKWA!
And how do you define critical thinking ?!think critically lizy, the man does not intended to accuse any body, its the truth and it will stand don't be feminist
He is free to exercise his authority elsewhere but on me....unless he is my father ofcourse!!Kama mwanamke alivyoumbwa, intrinscally, na desire ya kuonyeshwa kuwa anapendwa na kujaliwa; mwanaume ameumbwa, intrinscally, na desire ya ku-exercise authority.
seniorita baada ya kudai kuwa specific verses ni "nonsense," njoo na hoja yako ambayo sio specific ili tukuelewe, otherwise hoja yako nayo ni nonsense!
By that you mean you don't need even his love and care unless he is your father?He is free to exercise his authority elsewhere but on me....unless he is my father ofcourse!!
Is that what authority translates to?!Love and care?!I believe not!!By that you mean you don't need even his love and care unless he is your father?
...Lizzy umenisoma vibaya ni wanawake watawala na siyo woote,kumbuka kutii ni dada yake kujitoa na usipojitoa kwa dhati huwezi fika kileleni, ndipo sasa ndoa huwa nchumali wa moto/maudhi
Lizzy, nazungumzia watu wawili hapa, mwanamke na mwanaume, wenye desire tofauti. Mwanamke naturally ana-desire kupendwa na kujaliwa. Mwanaume naturally anadesire ku-exercise authority.Huwezi ukasema kwamba wewe (mwanamke) unataka kupendwa na kujaliwa, at the same time uka-rule out desire yake (mwanaume). The way you want to be loved and cared (by him), the same way he wants to be respected (by her).Does that what authority translates to?!Love and care?!I believe not!!
Mkuu, hatumshambulii Lizzy, tunabadilishana hoja ili tuweze kielewana....Jamani lizzy leo amewakera nini?mbona kila mtu anamshambulia tuu,mapenzi bwana must be reciprocated vivo hivyo na ingredients zake kama uaminifu,uvumilivu,ustahimilivu,heshima,unyenyekevu,upole,adabu na mengineyo............kwa hiyo maandiko yametoa uelekeo tu kama general rule ambayo lazima kuna exeption.............mbona wote wanakojoa sawa sawa tu???au mwanamke hafiki kileleni???
Ukizingatia biblia iliandikwa na wanaume.
Hivi Biblia si ina kitabu kinaitwa Ester?
Ni kweli kabisa Dada, heshima na utii katika mahusiano ni suala la pande zote mbili, sawa sawa,.......hata mwanaume pia anatakiwa kutii.