Utii wa mwanamke ni dawa tosha ya nguvu za kiume

Na tukipeleka discussion kwenye mambo ya bible basi wanawake yatupasa tukae majumbani tupike na kulea watoto na wanaume watafute pesa za kutosheleza mahitaji yote ya familia. Hivi vitabu viliandikwa zamani kwa hiyo msikimbilie kipengele kimoja tu cha utii na kuwalaumu wanawake na kuacha vipengele vingine. Ni obvious mwanamke asiye na kipato ana possibility kubwa ya kutokuwa na say ndani na ni part ya utii. That is why wale wanaume wanaopenda sana wanawake watiifu wanaoa wanawake wenye elimu ndogo ili wao wawe sole providers na wapate huo utii. And in most cases huo utii unatokana na kuwa hana financial power si kwamba wanapenda kuwa kama mazoba.

Mara mnalalamika wanawake wanawageuza ATM which is your role as per bible. Mara hawana utii. Hacheni ubinafsi mkitaka tufate maandiko na tuyafuate yote si nusu nusu na kuchagua yale yanayo wafeva.
 
Zinadumu kwa upendo na furaha au uvumilivu na manyanyaso????

 
Ni matunda gani yanaweza kuondoa tatizo hili badala ya UTII?
 

Tatizo la kusomewa maandiko matakatifu. Mungu akuhurumie
 
Nadhani kuna ukweli sana tu katika hili.... ukitaka kujua ngoja mkeo au mumeo akukere afu ucku mkutane kwenye 6x6
 
Santee sanaaa...mule mule ndugu yangu....kutii ni ibada...kama mke anavyopenda deko/kusikilizwa...basi kutii nako kuna matokeo chanya upande wa mume..
 
If this is the opinion then, we should demand a new Bible kama tunavyodai katiba mpya. Otherwise, sheria mama itaendelea kubakiaa:
Shida kubwa ni kuingia viapo vya ndoa pasipo kujua maandiko/wajibu wao..kusign usichokijua???
 
Santeee..
 
Pamoja na kupotea potea ktk uzi huu bado KUTII kuna tija kubwa ktk ndoa zetu....ingawa shida kubwa ilikuwa ktk kufahamu kutii ni nini,kutii kuna faida na si utumwa...na ktkt yake ndipo zilipo silaha za maangamizi za mw'ke...kuna vipawa automatic ktk kuexercise utii...ndani ya anayetiii hutoka pendo la HUDUMA na pendo la HURUMA hapa ndipo ilipo siri ya nguvu ya mw'ke,ktk haya 2 ndipo lilipo limbwata la ukwelii...lakini msingi ni kutiii...
 
Ni matunda gani yanaweza kuondoa tatizo hili badala ya UTII?
Kaitaba...huwezi amini vicheni patu vyooote vinafunda unyenyekevu,utiii kwa mume na wengine huenda mbali zaidi....wengi humu walikuwa/watakuwa soon wahitimu wa hivi vitchen pati...
 
Umeongea vyema, mwanamke inabidi uwe mtiifu ila usiwe mtiifu kupitiliza hadi ukaonekana zoba.
 
Zinadumu kwa upendo na furaha au uvumilivu na manyanyaso????
OOOh! nyumba kubwa kutii ninakokuongelea si huko....unatakiwa kwa hiyari kabisa umkubali/ufurahie mumeo kuwa ni kichwa cha nyumba yako..baba ktk maisha yako....wanawake wakubwa wawafundishe w'ke vijana kuwatii na kuwapenda waume zao (kungwi wa ukweli)...nyumba kubwa timiza wajibu wako usiwatishe vijana bana..
 
Makosa kwenye bible yapo, lakini suala la MWANAMKE KUWA CHINI YA UONGOZI WA MWANAUME liko sawa 100%.
 

kauli hiyo inabeba wingi mdada hakuna mahala utakuta ni 100%.....
 
Wanaume wengine wana hila tu hata uwaheshimu vipi bado wanakuwa wakatili tu
mhhh swala ni % mwanaume yyte mwelewa anaitaji utii yoka kwa mke wake ndoa hii ina nafasi kubwa ya kudumu
 

Lizzy kamwe usiikosoe Biblia Takatifu ........................yaani sanasana unatuonyesha ulivyo mbumbu katika Neno La Mungu...................Biblia Takatifu ni Mwenyezi mungu anaongea nas.....................Mungu hawezi kuwa na makosa kibao kama unavyodai...............

Labda nianze kwa kukusahihisha tafsiri zako juu ya neno la Mungu...........

tumeambiwa tupendane ila sio kila mtu ana uwezo wa kupenda


mapungufu ya mwanadamu kamwe hayawezi kutumika kumkosoa mwenyezi Mungu kuwa Neno lake limejaa makosa kibao...............Mwenyezi mungu ametuagiza tuwe watakatifu kwa sababu yeye ni mtakatifu. sitanukuu mstari kwa sababu ukweli upo dhahiri........


makosa kibao kwenye biblia tunambiwa tuadhibu kwa kuua ila hatufanyi hivyo.

adhabu za kifo bado zinatumika duniani ingawaje kutokana na udhaifu wa mwanadamu kuendekeza rushwa wengi wanaona wanaohukumiwa kufa yawezekana hawana hatia na ndiyo maana zimepigwa marufuku maeneo mengi.................................lakini hili huwezi kuliorodhesha kuwa ni kosa ndani ya neno la Mungu..................................

tunafundishwa kulipa visasi pia kutokufanya hivyo kwahiyo kila mtu anachagua kipi kinamfaa mle

Hili ni lako mwenyezi Mungu ametuasa ya kuwa kisasi ni chake...........soma Kumbukumbu ya Torati 32:35.......

As for me sina HITAJI la kutawaliwa though naweza nikawa NAPENDA ikitokea

Hizi ndizo sifa za Anti-Christ.............................kufanya upendavyo as if there is no living God and p[erhaps entertaining the idea you are GOD......................maana kama husikilizi sauti ya mwenyezi mungu unasikiliza sauti ya nani? Kama ni yako basi wajiona ni Mungu........

Mtume Paulo amekuelekeza ifuatavyo:-

a) For a man indeed ought not to cover his head, since he is the image and glory of God; but woman is the glory of man. For man is not from a woman, but woman from man. Nor was man created for the woman, but woman for the man." 1 Corintihians 11:7-9.

b) "Wives submit to your own husbands, as to the Lord. For the husband is head of the wife, as also Christ is head of the church; and he is the saviour of the body. Therefore, just as the church is subject to Christ, so let the wives be to their own husbands in everything." Ephesians 5:22-24.

Lizzy; in thoughts and deeds, follow Christ and everything will be well with you..................kwa sababu imeandikwa ya kuwa.............Mathew 12:37 "For your words you will be justified, and by your words you will be condemned."
 
mhhh swala ni % mwanaume yyte mwelewa anaitaji utii yoka kwa mke wake ndoa hii ina nafasi kubwa ya kudumu
Kweli kabisa ndugu yangu hujakosea..
 
Umeongea vyema, mwanamke inabidi uwe mtiifu ila usiwe mtiifu kupitiliza hadi ukaonekana zoba.
Asilani hatakuwa zoba bali atakula mema ya nchi...utii humrudisha m'ke ktk asili yake na ni tiba maridhawa kwa hali ya kiume...husninyo ukipanda juu umechagua mapambano na vita hii hainaga mswalie maumivu ndo matokeo yake..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…