S Sexless JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 23,683 Reaction score 55,898 Jul 26, 2020 #1 Kufuatia press release ya polisi kuwataka CHADEMA kuwa na kibali cha kumpokea mgeni wao, wananchi wameamka na kuanza kuitekeleza amri hiyo Hii hapa chini ni nakala ya barua ya mwananchi fulani kwenda kwa polisi (nimechukua sehemu chache ili kutunza usiri wa mhusika)
Kufuatia press release ya polisi kuwataka CHADEMA kuwa na kibali cha kumpokea mgeni wao, wananchi wameamka na kuanza kuitekeleza amri hiyo Hii hapa chini ni nakala ya barua ya mwananchi fulani kwenda kwa polisi (nimechukua sehemu chache ili kutunza usiri wa mhusika)
Dr hyperkid JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 12,679 Reaction score 25,646 Jul 26, 2020 #2 Hii inchi kwa mamluki hapana kwa kweli
S Sexless JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 23,683 Reaction score 55,898 Jul 26, 2020 Thread starter #3 hyperkid said: Hii inchi kwa mamluki hapana kwa kweli Click to expand... Mtu kaamua kutii sheria bila shuruti
hyperkid said: Hii inchi kwa mamluki hapana kwa kweli Click to expand... Mtu kaamua kutii sheria bila shuruti
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 24,314 Reaction score 38,919 Jul 26, 2020 #4 Kesho asubuhi tu,airport patakuwa na defender na washawasha
S Sexless JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 23,683 Reaction score 55,898 Jul 26, 2020 Thread starter #5 Chikwuemeka said: Kesho asubuhi tu,airport patakuwa na defender na washawasha Click to expand... Watawatambuaje kuwa ni wafuasi wa Lisu? Maana wengi wanaweza kwenda bila kuvaa sare?
Chikwuemeka said: Kesho asubuhi tu,airport patakuwa na defender na washawasha Click to expand... Watawatambuaje kuwa ni wafuasi wa Lisu? Maana wengi wanaweza kwenda bila kuvaa sare?
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 24,314 Reaction score 38,919 Jul 27, 2020 #6 Sexless said: Watawatambuaje kuwa ni wafuasi wa Lisu? Maana wengi wanaweza kwenda bila kuvaa sare? Click to expand... Utaona watawatambuaje,be calm
Sexless said: Watawatambuaje kuwa ni wafuasi wa Lisu? Maana wengi wanaweza kwenda bila kuvaa sare? Click to expand... Utaona watawatambuaje,be calm