Utii wa wanawake wa kisasa

Hapo sasa naona umeanza kuja kwenye point atleast maana mwanzo ninkama ulikuwa na negative perception, angalau umeanza kunielewa, mimi huwa sipendi kuzunguka zunguka, I get your point wewe upo kwenye indivualism kama sikosei! Kila mtu anapaswa kuwa sawa despite gender. Which you are so right. Kama ungenielewa toka mwanzo nilisema it's not about feeling superior or inferior bali it's how things just are.

Umesema kuna specie zingine ambazo majike yanakuwa kiongozi I agree with you nilishawahi kuliskia hilo. Ila twende kwenye basics nature ina act on opposites, yaani positive and negative, jua na mwezi, dume na jike... e.t.c so lazima huwa kuna opposites. Hiyo ni moja wapo ya misingi ya nature. Kwa wanyama hasa sisi binadamu huwa kuna masculine and feminine nahisi hili sio geni kwako. Masculine ana nguvu na uwezo sawa na feminine ila kiutendaji wanatofautiana. Tukianza physically masculine ana muonekano tough kuliko feminine. Tukienda emotionally and psychologically masculine ana tumia logic feminine anatumia intuition. Tukienda kwenye reproduction masculine is the giver meaning anatoa both XY chromosomes ila feminine ni reciever yeye anatoa XX! Umeona?

Kingine unachopaswa kujua ni kuwa kila aspect hapo inakazi sawa so moja haipo juu ya mwenzake, ila ni vile tu binadamu kaja duniani na kuanza kuona mwingine yupo juu ya mwenzake, ndo maana kama unakumbuka kuna mda nilikuambia wazee wa zamani walidumu kwenye mahusiano because hawakuwa na kujikweza, kama umekulia kwa bibi na babu utaliona hili. Hakukua na ile sjui ego ya kuona sjui mimi ndo natakiwa niwe juu ya mwingine. Kila mtu alikuwa anafanya majukumu based on their abilities. Ndo maana walidumu, vivyo hivyo wanyama wasio na haya ma ideologies wana thrive na kuishi bila shida.

Hilo swala la kulinganisha utawala wa mwanamke ni sawa na wa kilkoloni sijawahi kukubaliana nalo because najua havina relation ya aina yoyote, ni vile tu waafrika wengi wameathiriwa na ukoloni. So wanakuja kumatch unconsciously bila kujua wako psychologically manipulated. Ukweli ni kuwa hakuna mfumo dume au mfumo jike hayo yote yameletwa ili kusambaza vurugu na gender wars. Kila gender ina haki sawa, sema tukifuata nature kuna different roles ambazo ni unique kwa kila jinsia. Rejea nilivyo ongelea opposites! So likewise hio lazima I apply kwa male and female. Lasivyo hakuta kuwa na usawa!

Kwa uchache hapo nahisi umepata concept yangu, pia kama umenielewa naomba usichukulie swala la mwanaume kuwa kiongozi in a negative way kwamba litamfanya mwanamke kuwa inferior chukka toka kwenye dhana ya opposites na vivyo hivyo kwa mwanamke kuwa nuturure na kutimia intuition ni kitu ambacho mwanaume hakimfannyi kujiona inferior pia. Naomba tuwe open minded sio kutaka kuonesha mmoja ni bora kuliko mwenzie
 
Umeandika vyema ila Hujasema hiyo kanuni Ni kwa Mujibu wa Nani??
Hiyo ni universal law ambayo iko applicable kwenye nyanja nyingi, na siyo kwa mujibu wa mtu yeyote au kikundi chochote, ila hiyo ya mfumo dume ni kwa mujibu wa wanaume tu
Pili Jee Unamaanisha Mwanamke Akiwa Anamhudumia Mwanaume basi huyo Mwanaume anatakiwa amtii huyo Mwanamke??.
Ndivyo ilivyo sababu ukikubali kumuachia majukumu yako, basi uwe tayari kumuachia na nafasi yako, mamlaka huambatana na wajibu hakuna mamlaka vila wajibu
Tatu Jee Watoto watakapotoka katika Utegemezi wa wazazi wao basi kuanzia Hapo wasiwatii Wazazi wao tena??
Hapo kwa wazazi nilisema hivi watoto wanatakiwa kuwatii wazazi, kwa sababu wamewazaa na wanawahudumia hapo kuna sababu mbili, kwahiyo kama mtoto atatoka katika utegemezi wa wazazi utii utabaki kwa sababu ya wao kumzaa
 
Mkuu basi nadhani hukunielewa mimi sichukulii suala la mwanamke kuwa chini ya mwanaume in a negative way ila tatizo lipo kwa wanaume wenyewe pale wanapotumia vibaya hayo mamlaka waliyojipa ndio wanatufanya tuanze kuona kama huo mfumo wao ni batili, wewe unaweza kuwa na mtazamo tofauti ila wanaume wengi hawana mtazamo kama huo wako wengi huwa wanasema wanataka mfumo dume uendelee na siku zote mwanamke awe inferior, asiwe na sauti, avumilie maovu yote ya mumewe, asifanye maamuzi juu ya kitu chochote ndani ya familia hata yanayomhusu yeye, na atii kila kitu anachoambiwa na mumewe bila kupinga wala kuhoji, sasa kwa akili ya kawaida tu unawezaje kumuwekea masharti kama hayo kiumbe mwenye utashi na uwezo wa kufikiria kama wewe halafu unategemea huyo kiumbe akubali kirahisi tu bila kuwa na sababu yoyote ya kumfanya akubali sasa huo ni utawala au unyanyasaji yani kwa kifupi wanaume wanataka wanawake wawe watumwa wao in the name of utii
 
Siku zote muda umekuwa rafiki mzuri sana.
Sio kila kitu unaweza kukikamilisha kwa kutumia hisia.
95% wanawake wamewekeza kwenye hisia hapo ndipo hua tunapishana...
 
Hiyo ni universal law ambayo iko applicable kwenye nyanja nyingi, na siyo kwa mujibu wa mtu yeyote au kikundi chochote, ila hiyo ya mfumo dume ni kwa mujibu wa wanaume tu
Universal ni kitu gani?? Ukipata Jibu ndio Litakuwa Jibu La Kuwa Nature ndio Imeamua Mwanaume ni mtawala na Msimamizi wa Mwanamke. Na hakuna Sharti la huduma
Ndivyo ilivyo sababu ukikubali kumuachia majukumu yako, basi uwe tayari kumuachia na nafasi yako, mamlaka huambatana na wajibu hakuna mamlaka vila wajibu
Sasa mbona Unajichanganya Bi Jadda Nafasi ambayo mwanaume anamuachia Mwanamke kwa kuwa anamuhudumia ni ipi Na imetoka wapi??
Hapo kwa wazazi nilisema hivi watoto wanatakiwa kuwatii wazazi, kwa sababu wamewazaa na wanawahudumia hapo kuna sababu mbili, kwahiyo kama mtoto atatoka katika utegemezi wa wazazi utii utabaki kwa sababu ya wao kumzaa
Sasa utakuwa umegundua kuwa Utiifu Haujafungwa katika Kuhudumia Tuu. Utiifu Unasababishwa na vitu vingi ukiufunga utiifu katika huduma tuu utakwama katika baadhi ya Mambo kuyafafanua.
 
Unaweza ukachukulia Mfano mdogo wa Wanyama Msituni,,, Zipo Jamii za wanyama ambazo majike ndio Yanawinda na Kulisha watoto wao lakini hilo halifanyi Wao kuwa Ni Watawala Mbele ya Madume. Na ni Kwa Sababu Madume yana Nguvu kuliko majike Sasa Huwezi kusema Upate utiifu Kwa Mtu ambae akiaamua Kukuchalaza makofi mawaili huna la kufanya isipokuwa kwenda polisi huo utiifu sio wa asili na hapa tunazungumzia Utiifu wa Kiasili.
 
Universal ni kitu gani?? Ukipata Jibu ndio Litakuwa Jibu La Kuwa Nature ndio Imeamua Mwanaume ni mtawala na Msimamizi wa Mwanamke. Na hakuna Sharti la huduma
Kuna zile kanuni za asili ambazo ziko applicable kwa watu wote dunia nzima (bila kujali jamii, rangi, dini wala kabila) kwenye nyanja nyingi, yani binadamu automatically anakuwa hawazi wala hatoki nje ya kanuni hizo, kwa sababu zinamfanya aact kutokana na msukumo wa ndani haathiriwi na msukumo wa nje sijui kama unanielewa

Lakini mfumo dume siyo kanuni ya asili kwa sababu haiko applicable kwa wanawake wote dunia nzima maana kuna wanawake wengi hawazaliwi na ule msukumo wa ndani wa kuona kwamba wanatakiwa kuwa chini ya wanaume, yani wao wanazaliwa wanajikuta tu kwamba hawana fikira za aina hiyo sasa kama mfumo dume ungekuwa wa asili basi wanawake wote duniani wangekuwa wanazaliwa na uniform mentality, kwamba no matter the circumstances wao wanatakiwa kuwa chini ya wanaume but that is not the case

So hilo linadhihirisha kwamba mfumo dume siyo nature bali unatokana na gender assigned roles ambazo ziliwekwa na binadamu wa toka enzi na enzi, na zikapandikizwa kwenye akili za watu kupitia malezi na mazingira (msukumo wa nje) na hatimaye kuwa sehemu ya maisha ya watu wa jamii nyingi duniani, hasa ukizingatia wanawake hawakuwa na sauti hivyo walilazimika tu kukubaliana na sheria zozote ambazo zilipangwa na wanaume bila kuhoji
Sasa mbona Unajichanganya Bi Jadda Nafasi ambayo mwanaume anamuachia Mwanamke kwa kuwa anamuhudumia ni ipi Na imetoka wapi??
Nimesema mwanaume anatakiwa kumtawala mwanamke ikiwa tu anamhudumia, kama mwanamke ndiye anayemhudumia mwanaume basi mwanamke ndiye anayetakiwa kumtawala mwanaume, so nafasi niliyozungumzia ni ile ambayo mwanaume angekuwa nayo kama angekuwa ndio anamhudumia mwanamke
Sasa utakuwa umegundua kuwa Utiifu Haujafungwa katika Kuhudumia Tuu. Utiifu Unasababishwa na vitu vingi ukiufunga utiifu katika huduma tuu utakwama katika baadhi ya Mambo kuyafafanua.
Hakuna mahali nimesema utiifu unafungwa katika kuhudumia tu bali nimesema lazima kuwe na msingi wa fulani kumtii fulani, na ndio maana utiifu wa kutoka kwa kiumbe kuenda kwa muumba wake nao haujafungwa na huduma za kiuchumi bali una sababu nyinginezo ila kwa case ya mwanamke kumtii mwanaume msingi wake ni huduma za kiuchumi, kwa sababu isingekuwa hivyo basi mwanamke yeyote angetakiwa kumtii mwanaume yeyote tu hata anayekutana naye barabarani kwa sababu tu ni mwanaume lakini unafikiri ni kwanini anatakiwa kumtii mumewe tu au wewe unadhani mwanamke anatakiwa kumtii mwanaume wake kwa sababu gani
Hivi mnapotolea mifano ya wanyama huwa mnajua mnachokitetea kweli kwani ni lini wanyama walikaa na ninyi wakawaambia kwamba kwao madume hutawala majike kwa sababu hizi na hizi, si ni sisi binadamu ndio tulijiongeza kwamba madume hutawala majike kwa sababu fulani fulani kwahiyo hiyo dhana ya kwamba madume ndio hutawala majike inatokana na tafsiri yetu sisi binadamu ya neno kutawala na siyo instincts zao wanyama, halafu huwezi kutaka kutawala kwa kutumia vigezo vya kimaumbile ambavyo mwenzako naturally hajaumbwa navyo mfano wanawake nao waamue kutaka kutawala kwa kigezo cha kwamba wao ndio wenye jukumu zito la kuleta uhai duniani kwa maana ya kubeba mimba na kuzaa (jukumu ambalo ni la kimaumbile na wanaume hawawezi kulifanya) vipi mtakubaliana na hilo na kama hamtakubaliana nalo ni kwa sababu gani
 
Hapo sawa, nahisi hatuku elewana mwanzo ndo maana nilisema toka mwanzo hilo neno kutawala line negative meaning kwa wengi,.. I guess naweza kusema both genders zinamtawala mwenzake in a positive way for mutual benefits. Ulivyokua unanibishia kuhusu nature mwanzo I didn't understand you! Ndo maana nikasema tufute ideology na hizo maana kwanza ili tuelewane.

Mm naona ume tuhukumu wanaume ila,,trust me kuna wanawake wajinga pia hawajui the laws of nature na kujua positions zao kama wanawake pia, so they end up using and playing genuine men. Na ukweli kupata mtu anayeweza kuona pande zote za shilingi ni mtihani. Lastly kwa ushauri tu kuna wengine kamwe hawawezi kuelewa because they're stuck so tusiwe tunapoteza energy na muda kuexplain.
 
Kuongezea kwenye hio paragraph ya mwisho ni kuwa, animals are the perfect representation of nature unaweza kuona sjui madume yapo strong kuliko majike and vice versa sjui kuna majike yanaenda mawindoni ila wote wanategemeana mutually na sio kwa faida ya mmoja.
 
Hakuna andiko linalosema wakina nani ni wazungu wala waafrica, ok kama unaamini biblia, mbona yapo maandiko yanasema mwanaume ni kichwa na mwanamke ni dhaifu na anatawaliwa na mwanaume, mbona hayo unayafumbia macho?
 
Aya ya tatu imenifurahisha sana, akijibu nitag, pia aelezee msingi wa hoja yake kuwa akihudumiwa ndo amtii mwanaume, msingi wake kautoa wapi.
 
Yaani anajipinga pinga
 
Aloueweka huu utaratibu wa eti jinsi Fulani imtii mwingine ni nani?
 
Kabla ya Kukanusha kuwa Huo mfumo Uliouita Mfumo Dume kuwa Sio mfumo wa asili ulitakiwa Ujiuulize ILIKUWAJE HADI IKATOKEA HUKO TANGU KWA ANCESTORS WETU MWANAUME ALIKUWA NI MTAWALA NA MSIMAMIZI WA MWANAMKE??
Je ilishawahi kujiuliza Ilikuwaje hadi wanaume Waka"win" kuwatawala wanawake Huko nyuma Na bila resistance yoyote inayojulikana leo hii.

Pia Tukuulize Bi Jadda imekuaje Hadi imetokea kuna wanawake wao wanakubali kuwa chini ya Mwanaume Kwa msukumo wa ndani lakini pia kuna ambao wapo kinyume na hilo kama ulivyodai (Japo sio kweli). Lakini hakuna mwanaume anaezaliwa na msukumo wa ndani wa kutawaliwa na Mwanamke( kama wapo pia tuambie).
Bado Swali linakuja Hayo yote yanatokea kwa nini?? Kwanini Wanawake walikubali hili Jee Kuna Nguvu Ya Nje walipewa wanaume Kulifanikisha hili??
Umetetea vyema. Ila Unatakiwa Utuambie Ni Nani Aliyewapa Nguvu Wanawake Hadi wakajiona Sasa Wanavifua na ilikuaje jee Hawakusaidiwa?
Ukisema kwa Sababu Za Kiuchumi tuu Utakuwa Hujayazingatia maisha ya Kifamilia labda maisha ya Kimahusiano tuu nje ya Familia kwa sababu Kwa Hoja yako hii Inamaanisha Baba atatiiwa na Mama akiwa na pesa na siku Baba akiishiwa Pesa ,, Na ikabidi mke ahudumie Familia Basi Sasa Baba atatakiwa kutiii mke. Na mke atakuwa ndio kichwa cha Familia. (Hii ni ajabu kabisa)
Mimi mbona nimetoa Sababu yangu moja wapo kuwa ni kwa Sababu Madume yana Nguvu kuliko Majike Jee wewe unalikataa hili??

Pili Hayo maumbile unayoyakataa ndio Hoja ambayo ni Ngumu kuivunja Sababu Maumbile ya mwanamke Yanamfanya Automatically kuwa Weak ukilinganisha na Mwanaume Sasa Kanuni za kiasili zinamfaidisha Mwanaume kumtawala Mwanamke kwa yale maumbile yake.
Ndio maana nikakutolea Mfano kwamba Unaweza ukawa unamuhudia huyo mwanaume Ambae kwa Hoja yako Sasa utakuwa unamtawala Alafu siku ikitokea ugomvi atakuchalaza makofi na hutakuwa na la kumfanya Huo ni Utawala Gani Sasa.!!!
 
Acha nadharia uhudumiwe kwani wewe kilema,Wanawake wa kiafrika mna laana nyie mnataka kupewa tu utadhani hamna mikono.
Wenzenu ulaya Mke anawajibika katika Familia na bado unamheshimu Mume.
 
🙌😂
 
Yeah sasa hiyo elimu inabidi itolewe kwa hao wanaume wanaodhani kumtawala mwanamke ni kumnyima uhuru na kumfanya awe mtumwa, hakuna binadamu mwenye utashi atakubali kuwa mtumwa wa binadamu mwenzie bila msingi wowote eti in the name of utawala, ni lazima kuwe na mutual benefits baina ya hizi jinsia na siyo moja inalazimisha mambo kwa faida yake
Hapana wewe unaona kama nimehukumu wanaume tu kwa sababu hii mada inahusu mfumo dume, ingekuwa inahusu na wanawake basi ningeongelea madhaifu ya wanawake, ila hapa naongelea namna wanaume wengi wanavyoyatumia vibaya mamlaka waliyojipa dhidi ya wanawake
Yeah exactly na ndicho ninachosema kuwa sisi binadamu kwa tafsiri yetu ya neno kutawala tunaweza ona kwamba, kwa wanyama madume ndio yanatawala majike ila kumbe wao wenyewe wanyama wala hawaoni hivyo, bali wanachokiona ni mgawanyo wa majukumu tu baina yao na wala hakuna mtawala bali wote wako sawa
 
Hakuna andiko linalosema wakina nani ni wazungu wala waafrica, ok kama unaamini biblia, mbona yapo maandiko yanasema mwanaume ni kichwa na mwanamke ni dhaifu na anatawaliwa na mwanaume, mbona hayo unayafumbia macho?
Biblia ni ancient scriptures na hayo maneno kama "wazungu" na "waarabu" ni medieval terms kwahiyo kwenye biblia huwezi kukuta maneno kama hayo, maana yalianza kutumika biblia ikiwa imeshaandikwa lakini hilo halibadili ukweli kwamba kiimani vizazi vyote vya leo, vinatokana na watu au jamii fulani ambazo zipo kwenye biblia ila tu zilikuwa zinaitwa kwa majina tofauti kabisa

Lakini vitabu vingine vya kihistoria vinaelezea hayo ambayo kwenye biblia hayakuandikwa kwa mfano wapalestina wa leo ndio wafilisti wa kale lakini hakuna sehemu biblia imeandika hilo, wahindi ni descendants wa Esau kaka yake Yakobo lakini hakuna mahali biblia imeandika hilo sasa hiyo ni mifano michache tu, kwahiyo usitegemee biblia ingekuambia kwamba descendants wa watoto wa Nuhu ni jamii zipi na zipi kwa kutumia maneno hayo yanayotumika leo lakini historia ndio inaonesha hivo

Sasa kuhusu hayo maandiko ndio nilitaka nikuoneshe uhusiano kati ya utawala wa mtu mweupe kwa mtu mweusi na utawala wa mwanaume kwa mwanamke, kama weusi tumeweza kupinga na kuhoji ukoloni ambao weupe wanadai ni nature na ni biblical lakini wamekubali kuacha kututawala je kwanini wanawake wakipinga na kuhoji mfumo dume inakuwa nongwa, by the way unalijua hilo andiko la mwanaume kumtawala mwanamke ila andiko la mwanaume kula kwa jasho lake na kuhudumia familia unajifanya haulijui wala haulioni siyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…