de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 2,044
- 4,558
Hapo sasa naona umeanza kuja kwenye point atleast maana mwanzo ninkama ulikuwa na negative perception, angalau umeanza kunielewa, mimi huwa sipendi kuzunguka zunguka, I get your point wewe upo kwenye indivualism kama sikosei! Kila mtu anapaswa kuwa sawa despite gender. Which you are so right. Kama ungenielewa toka mwanzo nilisema it's not about feeling superior or inferior bali it's how things just are.Hakuna mahali wanawake wamesema wanataka wao ndio wawe watawala lengo la mfumo wa haki sawa ni kila mmoja ajitawale mwenyewe, kusiwe na wa kumtawala mwenzie ila wanaume ndio mnalazimisha na mnang'ang'ania muendelee kuwatawala wanawake hata kama hawataki, hadi sasa bado hujanijibu swali langu nimekuambia ni zipi faida za moja kwa moja anazopata mwanamke pale anapomtii mwanaume naona bado umekazana kukwepa hoja na kuniongelea mimi kana kwamba unanijua
Wewe umesema uko against mfumo dume halafu hapo hapo unatetea mwanaume kumtawala mwanamke hivi unaelewa hata unachokisimamia kweli kwahiyo wewe hujui mwanaume kumtawala mwanamke ndio mfumo dume wenyewe huo, au wewe unajua mfumo dume ni nini usinitolee mifano ya rais sijui nani kwani umeambiwa mwanamke akiwa rais ndio anawakilisha mitazamo na misimamo ya wanawake wote duniani, huyo rais naye si ni victim tu wa imani potofu za mfumo dume naye alishakuwa brain washed kwamba mwanamke lazima awe chini ya mwanaume lakini si kwamba anapenda kwa utashi wake
Ungekuwa una upeo mkubwa wa kufikiri ungeona uhusiano kati ya utawala wa mwanaume kwa mwanamke na utawala wa mtu mweupe kwa mtu mweusi, kwa sababu visingizio wanavyovitumia watu weupe kuwatawala watu weusi vinafanana kwa asilimia kubwa na visingizio wanavyovitumia wanaume kuwatawala wanawake, lakini kutwa mnawatukana wazungu na kuwaambia waache kuwatawala wawape uhuru mjitawale wenyewe yani ukoloni ukipingwa mnaona ni sahihi ila mfumo dume ukipingwa mnaona ni dhambi siyo
Hivi mnapotolea mifano ya wanyama huwa mnajua mnachokitetea kweli kwani ni lini wanyama walikaa na ninyi wakawaambia kwamba kwao madume hutawala majike kwa sababu hizi na hizi, si ni sisi binadamu ndio tulijiongeza kwamba madume hutawala majike kwa sababu fulani fulani kwahiyo hiyo dhana ya kwamba madume ndio hutawala majike inatokana na tafsiri yetu sisi binadamu ya neno kutawala na siyo instincts zao wanyama, by the way sijui hata kama unafahamu kwamba kuna species za wanyama ambazo majike ndio hutawala himaya (do your research) so vipi na wanawake wakiamua kuvutia upande wao kwa kutolea mifano wanyama wa aina hiyo
Si ndio elezea msingi wa hiyo nature
Umesema kuna specie zingine ambazo majike yanakuwa kiongozi I agree with you nilishawahi kuliskia hilo. Ila twende kwenye basics nature ina act on opposites, yaani positive and negative, jua na mwezi, dume na jike... e.t.c so lazima huwa kuna opposites. Hiyo ni moja wapo ya misingi ya nature. Kwa wanyama hasa sisi binadamu huwa kuna masculine and feminine nahisi hili sio geni kwako. Masculine ana nguvu na uwezo sawa na feminine ila kiutendaji wanatofautiana. Tukianza physically masculine ana muonekano tough kuliko feminine. Tukienda emotionally and psychologically masculine ana tumia logic feminine anatumia intuition. Tukienda kwenye reproduction masculine is the giver meaning anatoa both XY chromosomes ila feminine ni reciever yeye anatoa XX! Umeona?
Kingine unachopaswa kujua ni kuwa kila aspect hapo inakazi sawa so moja haipo juu ya mwenzake, ila ni vile tu binadamu kaja duniani na kuanza kuona mwingine yupo juu ya mwenzake, ndo maana kama unakumbuka kuna mda nilikuambia wazee wa zamani walidumu kwenye mahusiano because hawakuwa na kujikweza, kama umekulia kwa bibi na babu utaliona hili. Hakukua na ile sjui ego ya kuona sjui mimi ndo natakiwa niwe juu ya mwingine. Kila mtu alikuwa anafanya majukumu based on their abilities. Ndo maana walidumu, vivyo hivyo wanyama wasio na haya ma ideologies wana thrive na kuishi bila shida.
Hilo swala la kulinganisha utawala wa mwanamke ni sawa na wa kilkoloni sijawahi kukubaliana nalo because najua havina relation ya aina yoyote, ni vile tu waafrika wengi wameathiriwa na ukoloni. So wanakuja kumatch unconsciously bila kujua wako psychologically manipulated. Ukweli ni kuwa hakuna mfumo dume au mfumo jike hayo yote yameletwa ili kusambaza vurugu na gender wars. Kila gender ina haki sawa, sema tukifuata nature kuna different roles ambazo ni unique kwa kila jinsia. Rejea nilivyo ongelea opposites! So likewise hio lazima I apply kwa male and female. Lasivyo hakuta kuwa na usawa!
Kwa uchache hapo nahisi umepata concept yangu, pia kama umenielewa naomba usichukulie swala la mwanaume kuwa kiongozi in a negative way kwamba litamfanya mwanamke kuwa inferior chukka toka kwenye dhana ya opposites na vivyo hivyo kwa mwanamke kuwa nuturure na kutimia intuition ni kitu ambacho mwanaume hakimfannyi kujiona inferior pia. Naomba tuwe open minded sio kutaka kuonesha mmoja ni bora kuliko mwenzie