Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Kwa nini mtu akienda tofauti na unavyotaka unaishia kutoa maneno ya kudhalilisha? Nimekuona mara kadhaa ukishindwana na mtu unaanza kumuattack hii haijakaa poa.Sio mwanamke ni upinde uyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini mtu akienda tofauti na unavyotaka unaishia kutoa maneno ya kudhalilisha? Nimekuona mara kadhaa ukishindwana na mtu unaanza kumuattack hii haijakaa poa.Sio mwanamke ni upinde uyo.
AiseeeUyo uliemtag sasa akija mtakesha hapa.
Unanijua sana siyoSio mwanamke ni upinde uyo.
Hiyo ni dalili ya kushindwa hoja nishawazoea hao, ukijadiliana nao wakaona wamebanwa wanaanza matusi na kauli nyingine za kujifariji, yani mtu from nowhere anakuongelea kana kwamba anakufahamu haya kama siyo matatizo ya akili sijui ni niniKwa nini mtu akienda tofauti na unavyotaka unaishia kutoa maneno ya kudhalilisha? Nimekuona mara kadhaa ukishindwana na mtu unaanza kumuattack hii haijakaa poa.
Kuna watu hatuwezi jua nje ya jf wanakutana na mabalaa gani ukute mtu anaingia humu kuja kupunguza makasiriko. Huwezi kuwa na akili timamu na kuja kudhalilisha watu humu, watu wa hivi ni wa kuwaacha kama walivyo.Hiyo ni dalili ya kushindwa hoja nishawazoea hao, ukijadiliana nao wakaona wamebanwa wanaanza matusi na kauli nyingine za kujifariji, yani mtu from nowhere anakuongelea kana kwamba anakufahamu haya kama siyo matatizo ya akili sijui ni nini
hakikaBi Mkubwa anasahau mbegu aliyo ipanda imeshamea na kuzaa,haya tunayo ya ona ni matunda ya juhudi zake na wanaharakati wenzake, tushachelewa siku hizi hamna utii yani full mashindano na kuonyeshana.
View attachment 3011567
So kama una moyo wa uvumilivu na unauwezo wa kumbadilisha ishi nae ila kama huwezi kuvumilia Ke kutokupa heshima achana nae tafuta mwengine atakaye kuheshim.
Ila jamii yetu imesha haribiwa sana na mafeminist/wanaharakati,uzuri wamesha ya ona makosa yao,ila ubaya hawajui wataanza vipi kurekebisha kwani washachelewa.
Miliki kibunda na hasira mke wako atakutii tuKutokana na malezi ya kisasa na mifumo ya kisasa ya maisha ile kanuni ya mtii mwanaume wako kwa wanawake wa kisasa ni kitu ambacho hawakielewi kabisa wala kujua maana yake wakiwa katika umri wa usichana au umri wa kuchumbiwa na kuolewa.
Ila asili au nature ilivyo na power katika kufundisha kanuni zake za asili bila kupangiwa au kubembeleza mtu utashangaa sana binti akisha chezewa sana mwili wake akafikia ule umri wa utu uzima yaani 30,then mwili unaanza kupungua mvuto, anaanza kuwa na muonekano wa kimama, automatically utashangaa anaanza kuwa na adabu na yale mawenge, machepele, viburi, dharau ghafla hupotea anaanza kuwa na mwenendo wa utaratibu na anatengeneza haiba ya kukua kiakili.
Huwa najiuliza why huwa mnakwepa kitu ambacho mtakuja kukifanya siku za baadae tena kwa lazima?
Hapa tunaongea swala la utii na adabu kwa mwanaume ila mabinti kama akina Jadda watakaza fuvu kabisa na majibu ya kejeli ila subiri umri ufike. Kama kuna kamera za kuwamulika hamtaamini kuwa ndio wataufyata kuliko wale ambao ndio watii kwasasa.
Usiponyooka utanyooshwa, maisha hayajawahi na wala hatakuja kuwahi kubembeleza mtu, utakwenda vile yanavyotaka. Kanuni ya kutii mume na mke kupendwa ni ya miaka ya enzi na enzi. Wewe mtoto wa 1990's uje kuleta kanuni zako na kuamulia jamii iende kwa fikra zako utajua haujui, mtego utakapokufyatukia ndipo utaelewa maisha ni kama upepo, yapo ila hayashikiki.
Ww blood blanket umekutana na watu wanaokubembeleza! Hujaingia kwenye 18 za akina sisi utaomba mbingu ifung'uke.Nature my foot ninyi endeleeni kujifariji na huo ujinga wenu mnaouita nature mkidhani eti wanawake watakuja kujirudi na kuwa kama bibi zetu, kadiri miaka inavyozidi kuenda ndivyo wanawake wanavyozidi kuujua uhalisia na kuachana na uwongo wa hizi kauli zenu, jiandaeni kisaikolojia tu maana alama za nyakati zinaonesha yajayo yatawavuruga zaidi mpaka muwe vichaa hapa mbona hamjaona kitu bado
Basi ndio mdeal na hao na siyo wanawake wote, wanawake msiowahudumia waacheni kama walivyo, na pia siyo kila mwanaume anastahili kupewa utii kaa ukijua hilo
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...Mwanaume umtii mwanamke tena!!?? Msubutuuuu
Utajiroga mwenyewe! Sio kwa wanawake sie wa kileo
_ Men and women should be treated accordingly, Mwanaume kuwa mlevi, malaya, mvivu au masikini won't change the fact that he is a man.Mwanaume mlevi, hatunzi familia, hamheshimu mkewe anamletea mahawara hadi ndani nae anastahili heshima? Nyie mna utani[emoji1787]
😂😂😂basi turudishe enzi za utumwa. Tujue moja._ Men and women should be treated accordingly, Mwanaume kuwa mlevi, malaya, mvivu au masikini won't change the fact that he is a man.
_ Mwanaume hawezi kua mwanamke sababu ni mlevi au sababu ni masikini, vilevile mwanamke hawezi kua mwanaume kwa sababu anatafuta pesa.
_ If u can't grasp such a small concept then siku zako za kujuta zimekaribia.
Huyo Jadda uliyemtaja nadhani ndo mwanamke jeuri JF nzima, ngoja nature ifanye kazi yake kisawasawa.
Na huu ndio ukweli big ciccy,. Huku nje watu wamevurugwa ni hatariKuna watu hatuwezi jua nje ya jf wanakutana na mabalaa gani ukute mtu anaingia humu kuja kupunguza makasiriko. Huwezi kuwa na akili timamu na kuja kudhalilisha watu humu, watu wa hivi ni wa kuwaacha kama walivyo.
🤣🤣🤣🤣🤣kwahiyo mnata kutiiwa au sio??!!
Wanaume wanataka kutiiwa, nadhani tufanye hivo....tuwatii 😁🤣🤣🤣🤣🤣
Mwenyekiti toa tamko!
Nami nasema basi watiiwe🤣🤣🤣Wanaume wanataka kutiiwa, nadhani tufanye hivo....tuwatii 😁
Ombi lao limepita bila kupingwa 🤣Nami nasema basi watiiwe🤣🤣🤣
Hakuna aliedhalilishwa naongea kitu ninachokijua.Kwa nini mtu akienda tofauti na unavyotaka unaishia kutoa maneno ya kudhalilisha? Nimekuona mara kadhaa ukishindwana na mtu unaanza kumuattack hii haijakaa poa.
Ego pia ni sababu, wataanzia wapi kukubali walikosea tangu mwanzo?Ila jamii yetu imesha haribiwa sana na mafeminist/wanaharakati,uzuri wamesha ya ona makosa yao,ila ubaya hawajui wataanza vipi kurekebisha kwani washachelewa.