Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
- Thread starter
-
- #421
Vichaa hatuwezi kupata, vichaa watapata wanawake maana hata sasa unaona huko mtaani nani anaehangaika na kausha damu na marejesho? [emoji848]Nature my foot ninyi endeleeni kujifariji na huo ujinga wenu mnaouita nature mkidhani eti wanawake watakuja kujirudi na kuwa kama bibi zetu, kadiri miaka inavyozidi kuenda ndivyo wanawake wanavyozidi kuujua uhalisia na kuachana na uwongo wa hizi kauli zenu, jiandaeni kisaikolojia tu maana alama za nyakati zinaonesha yajayo yatawavuruga zaidi mpaka muwe vichaa hapa mbona hamjaona kitu bado
Basi ndio mdeal na hao na siyo wanawake wote, wanawake msiowahudumia waacheni kama walivyo, na pia siyo kila mwanaume anastahili kupewa utii kaa ukijua hilo
Wanaume hatunaga hizo mbaga. Sasa wewe sijui unawatakia mema wanawake wenzako? [emoji848]