Utii wa wanawake wa kisasa

Utii wa wanawake wa kisasa

Nature my foot ninyi endeleeni kujifariji na huo ujinga wenu mnaouita nature mkidhani eti wanawake watakuja kujirudi na kuwa kama bibi zetu, kadiri miaka inavyozidi kuenda ndivyo wanawake wanavyozidi kuujua uhalisia na kuachana na uwongo wa hizi kauli zenu, jiandaeni kisaikolojia tu maana alama za nyakati zinaonesha yajayo yatawavuruga zaidi mpaka muwe vichaa hapa mbona hamjaona kitu bado

Basi ndio mdeal na hao na siyo wanawake wote, wanawake msiowahudumia waacheni kama walivyo, na pia siyo kila mwanaume anastahili kupewa utii kaa ukijua hilo
Vichaa hatuwezi kupata, vichaa watapata wanawake maana hata sasa unaona huko mtaani nani anaehangaika na kausha damu na marejesho? [emoji848]

Wanaume hatunaga hizo mbaga. Sasa wewe sijui unawatakia mema wanawake wenzako? [emoji848]
 
Mwanaume mlevi, hatunzi familia, hamheshimu mkewe anamletea mahawara hadi ndani nae anastahili heshima? Nyie mna utani[emoji1787]
Wewe wanaume wenye hiyo changamoto umekutana nao wangapi na uliishi nao kwa muda gani? [emoji848]
 
Miliki kibunda na hasira mke wako atakutii tu
Wangapi wanahela na wanaprovide hadi kiwango cha kupitiliza wanaishia kusalitiwa tena na wanawake zao wanatoka na wanaume wa lower class than wanaume zao.
 
_ Men and women should be treated accordingly, Mwanaume kuwa mlevi, malaya, mvivu au masikini won't change the fact that he is a man.

_ Mwanaume hawezi kua mwanamke sababu ni mlevi au sababu ni masikini, vilevile mwanamke hawezi kua mwanaume kwa sababu anatafuta pesa.

_ If u can't grasp such a small concept then siku zako za kujuta zimekaribia.
Exactly [emoji817]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]basi turudishe enzi za utumwa. Tujue moja.
Kwahiyo mwanamke anastahili kutendewa ubaya na kudharauliwa kwasababu ni mwanamke? Tf is wrong with this society?
What's wrong with this society au whats wrong with you? [emoji848]
 
Mwanaume wako ndio ana tabia hizi? Mbona mtoa mada hajataja izo sifa popote. Nimekuona mara kadhaa unapenda kuchafua kwanza image ya wanaume kwa assumptions zako binafsi ndio utengeneze hoja, izo sifa ulizozitaja hata mwanamke anaweza kuwa nazo. Suala la mmong'onyoko wa maadili kwa wanawake ni tatizo kwa sasa tena hao wanaume wema ndio victims wakubwa ukilinganisha na bad boyz unaowasakama.
Na bado atakuja kukubishia sababu yeye hoja zake anajenga katika misingi ya kubishana ashinde na sio kujenga hoja za rutuba kwa jamii.
 
View attachment 3011801
Yani hata aje nani anielezee. Wanaume wenye matendo kama haya acha wapumzike tu kwa amani. HAWASTAHILI HESHIMA! Period ..
nyinyi mna kandamiza wanawake kwa kisingizio cha kwamba wakijitetea basi wao ni mafeminist. Kwenye ndoa lazima heshima iwepo. Mwanaume asipo kuwa na heshima na mkewe ndo hivyo analala hadi na mashemeji zake wagonjwa atalala hadi na mkwewe.

Aisee iteni majina yote ila mwanaume asiejiheshimu hastahili heshima. Pelekeni undezi hukoo
Sasa tazama ulivyo na akili za shortcircuit. Hapo umetazama mwanaume kulala na ndugu wa mkewe. Kwann usitazame kwa jicho la ndugu wa mke kwenda kuharibu mahusiano ya ndugu yake kwa kumshawishi shemeji yake kulala nae? [emoji848]

Huu ndio upumbavu na uwezo mdogo walio nao feminists kudhania kuwa wanawake hawana nafasi au sababu za kuwa accountable kwa matendo yao. Why inamhold responsible huyo mwanaume na haumhold au kusema chochote juu ya huyu ndugu wa mke?

That's childish and low thinking of you.
 
Wewe unavyokandamizaga wanawake hujioni? Wanawake wa JF mmewajengea uoga hata wa kujitetea wanadhani wakisema wataonekana feminists! WANAUME PIA MNATAKIWA MJIHESHIMU ILI MHESHIMIWE.
View attachment 3011812
Haya muone mwenzio huyo
Kwann wewe haumuoni huyo mwenzako aliyelala na shemeji yake? Akili za wapi unatumia hapa? [emoji848]
 
Unafikiri hata wametujengea uoga basiii, tumewapuuza tu na kuwaacha wajipigie kelele zao wakichoka wakajitafute walipojisahau.
Leo ni kelele siku zijazo hizi kelele zitageuka kuwa ni tabiri au maono ambayo mliyapuuza na yamewagharimu.
 
Sitakujibu kwa namna ulivyonijibu lakin najua point yangu umeielewa. Mada inahusu mmong'onyoko wa maadili basi baki kwenye dhumuni la mada sio unaleta masuala ya kubakwa, ulevi, unyanyasaji ambayo hayahusiani na dhumuni la mada
Kawaida yake kuhamisha magoli ili kupata ushindi kwa nguvu.
 
Jipeni moyo ivyo uko kwenye jukwaa love connect wenzenu walioinga 30+ wanatafuta mume ambae anapumua tu. Habari za hela, tall, dark, handsome tupa kule
Kuna muda inafika wanaujua ukweli na wanakuwa speechless. Wanawake wa kisasa kujifunza ni hadi wapate maumivu sababu wameshachagua kukumbatia ujinga kwa gharama yoyote.
 
Kwanini ulevi na unyanyasaji usihusiane?? Kwani kina nani wanautenda? Si hao wanaodhani kwa kuwa wameumbwa wanaume basi dunia nzima iwatetemekee hata kama wanakosea,
Kama hizo ni factors muhimu basi wanawake wa sasa mnaweza kuwashinda wanaume.

Wanawake wa sasa ni walevi kushinda wanaume na ndip wanaoongoza kushinda location za starehe sababu mara nyingi husapotiwa na wanaume hata kama hawana pesa. Tukija manyanyaso, women are number one initiators wa domestic violence na home breakers. Kama unabisha nenda kasikilize testimonials za dada wa kazi wengi wanaoongelea manyanyaso wanayopitia kwenye nyumba ambazo mama ndio oly bread winner au niseme Single mothers households.
 
Huyo dada nilishindwana nae hapo tu, mnajadili mambo mengine, yeye analeta mifano ya wanaume anaokutana nao yeye wenye peculiar characters ambazo hata sisi wanaume zinatushangaza. Hajawahi kuwaza kwamba kuna bright side pia. Mungu amsaidie sana akutane na wanaume wazuri wanaojielewa ili angalau apone trauma zake.
Kwa hizi mbaga zake i bet you atakuja kutana na hao hao. Kuna msemo wa kiswahili unasema kwamba alifikirialo au aliwazalo mpumbavu ndilo litakalomtokea.

Mtu ambaye muda wote ana hallucinations kuwa wanaume ni abusers by default huwa ana tendencies za ku repell good men na kujipeleka kwa wanaume wa hovyo. Ipo siku atakuja kuprove hii statement yangu kuwa ni rule na sio theory.
 
Kaka una akili sana. I am following you right away. Kama ungekuwa mwalimu au kama ni mwalimu basi wanafunzi wako watakuwa wanaelewa sana. Huyo dada hayo matatizo yote uliyo notice kwake ni kweli anayo na ni zaidi ya watu 10 washamwelekeza ila ni mbishi kushinda maelezo.
Kabishi sana.
 
Back
Top Bottom