Utii wa wanawake wa kisasa

Muktadha wa hoja yako umejikita kwenye UTII Vs HUDUMA.

Kipi kinatakiwa kuanza kati ya hivyo viwili?

-Kaveli-
Atakwambia huduma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yeye akili yake ni kuwa maisha ni tit for tat.
 
Then maybe one day utatu surprise na mojawapo ya hao rare men. Ila i very much doubt kuwa utatoboa eneo la ndoa.
 
Sasa. Anatokea punda anakomaa kabisa anasema haijalishi. Mwanaume lazima aheshimiwe!!! No thank you:
Kuheshimu mwanaume ni jambo independent na topic inayojitoshea, while domestic abuse ni issue nyingine kabisa.
 
Haisaidii kwa upande wako sababu wanaodhurika mwisho wa siku ni wanawake. Tazama maisha ya kitaa kwasasa ni akina nani wanateseka na maisha magumu ya kitaa?
 
Kutii mwanaume kuna husiana nini na mwanamke kumsaidia mumewe majukumu ya kifedha?

Kama umeelewa au kusoma vema nimeandika kule juu kuwa utii mnaokwepa kufanya huku chini huwa mkishaanza zeeka umri ukienda mnarudi tena kuanza kubehave when its too late.

Utaokoteza vibwana mdogo rika la wadogo zako halafu unaanza kuigizia mke mwema na kumtii kubabake mtu ambaye kwanza ni mdogo kwako lakini pia wewe ndie una gharamika kuishi nae ukimlea of which inakuwa ni 200% hard work ukilinganisha na kumtii na kuwa submissive kwa mwanaume wa usichana wako tena ambaye amekuzidi umri na kipato.
 
Haha hapana bhana nina akili za kawaida tu za kuvukia barabara
Na ni kweli za kuvukia barabara haupo wrong, kimsingi jamaa anatafuta utelezi. The compliment is just some form of bait.
 
Pesa huna halafu unataka mwanamke akutii!!? Mimi nitamtii mwanaume mwenye PESA tu na anayefanya majukumu yake km mume..!!
Kutii mume hakujawahi kuwa na mahusiano na uwezo wake wa kifedha. If that's the case, je bibi zetu ambao waliishi miaka kabla ya ukoloni na muingiliano wa maisha ya kimagharibi na sisi waliwezaje kuishi na mume tena zaidi ya mke m'moja? [emoji848]

Mwanamke anayetii mume kwaajiri ya pesa hana tofauti na prostitute.
 
Mkuu sidhani kama hilo ni suala la kipi kinatakiwa kuanza, mkishaingia tu ndoani kila mmoja anatakiwa aanze kutekeleza majukumu yake papo hapo, wala si suala la kusubiri fulani aanze au kushindana
Wewe mwanamke unaingiaje katika ndoa na mwanaume ambaye hajakuonyesha kuwa ni provider?

Na je unategemea mwanaume atakuwa provider mzuri kwa mwanamke kiburi? [emoji848]
 
Swali linakuja kwako, je ni mwanaume gani ambaye atajitoa kwako mwanamke ambaye discipline upo shallow? [emoji848]
 
Hapa ndipo wanapotuonaga sisi wabaya, yani mtu hatimizi majukumu yake anataka msaidiane 50/50 halafu hapo hapo anataka heshima, ndio kina Natafuta Ajira hao eti asili sijui ni asili gani hiyo inayochagua upande
So utii na heshima ya mwanamke ina nunuliwa is that your opinion? [emoji848]
 
Jadda still amegoma kuonesha utii hata katika huu uzi wakuu[emoji848]
Huyu ndio huu uzi unamhusu kabisa sababu ana display exactly what i have described. One day ata display obedience kwa mwanaume less than the expecting type.
 
Kabisa
 
Mkuu wewe unadhani msingi wa mwanaume kumtawala mwanamke uko kwenye nini
Msingi upo kwenye functionality ya jamii iende. Mwanaume hajapewa mamlaka na MUNGU juu ya mwanamke kumtawala ili ampe huduma tu, amepewa mamlaka ili kuweza kumuongoza katika safari ya Maisha.

Ukitaka kujua kwasababu gani mwanaume anakuwa juu ya mwanamke tazama familia za kisasa za masingle mothers utaona kinachokosekana kwenye malezi. Hiyo ndio sababu kwann mwanaume ana mamlaka.
 
Atageuza geuza mjadala hapa hautaamini.
 
Acheni hizi porojo elezea hiyo faida anayopata mwanamke directly
Utii ndio code ya lugha ya mahusiano kutoka kwa mwanamke kwenda kwa mwanaume. Bila hivyo hakuna mahusiano serious hapo.
 
Umeongea kinyume chake kwa character ya jada kama ni kweli yupo ivyo maisha yake ya kila siku basi ni mwanume fulani fala fala ndio ataweza kuishi nae
Ambayo itakuwa ni pointless kuishi na mwanaume ambaye haplay nafasi yake kiuhalali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…