Utii wa wanawake wa kisasa

Kwa nini mtu akienda tofauti na unavyotaka unaishia kutoa maneno ya kudhalilisha? Nimekuona mara kadhaa ukishindwana na mtu unaanza kumuattack hii haijakaa poa.
Hiyo ni dalili ya kushindwa hoja nishawazoea hao, ukijadiliana nao wakaona wamebanwa wanaanza matusi na kauli nyingine za kujifariji, yani mtu from nowhere anakuongelea kana kwamba anakufahamu haya kama siyo matatizo ya akili sijui ni nini
 
Hiyo ni dalili ya kushindwa hoja nishawazoea hao, ukijadiliana nao wakaona wamebanwa wanaanza matusi na kauli nyingine za kujifariji, yani mtu from nowhere anakuongelea kana kwamba anakufahamu haya kama siyo matatizo ya akili sijui ni nini
Kuna watu hatuwezi jua nje ya jf wanakutana na mabalaa gani ukute mtu anaingia humu kuja kupunguza makasiriko. Huwezi kuwa na akili timamu na kuja kudhalilisha watu humu, watu wa hivi ni wa kuwaacha kama walivyo.
 
Bi Mkubwa anasahau mbegu aliyo ipanda imeshamea na kuzaa,haya tunayo ya ona ni matunda ya juhudi zake na wanaharakati wenzake, tushachelewa siku hizi hamna utii yani full mashindano na kuonyeshana.



So kama una moyo wa uvumilivu na unauwezo wa kumbadilisha ishi nae ila kama huwezi kuvumilia Ke kutokupa heshima achana nae tafuta mwengine atakaye kuheshim.

Ila jamii yetu imesha haribiwa sana na mafeminist/wanaharakati,uzuri wamesha ya ona makosa yao,ila ubaya hawajui wataanza vipi kurekebisha kwani washachelewa.
 
hakika
 
Miliki kibunda na hasira mke wako atakutii tu
 
Ww blood blanket umekutana na watu wanaokubembeleza! Hujaingia kwenye 18 za akina sisi utaomba mbingu ifung'uke.
 
Mwanaume mlevi, hatunzi familia, hamheshimu mkewe anamletea mahawara hadi ndani nae anastahili heshima? Nyie mna utani[emoji1787]
_ Men and women should be treated accordingly, Mwanaume kuwa mlevi, malaya, mvivu au masikini won't change the fact that he is a man.

_ Mwanaume hawezi kua mwanamke sababu ni mlevi au sababu ni masikini, vilevile mwanamke hawezi kua mwanaume kwa sababu anatafuta pesa.

_ If u can't grasp such a small concept then siku zako za kujuta zimekaribia.
 
😂😂😂basi turudishe enzi za utumwa. Tujue moja.
Kwahiyo mwanamke anastahili kutendewa ubaya na kudharauliwa kwasababu ni mwanamke? Tf is wrong with this society?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…