Kwenda zako ni wapi nimejitambulisha kama mkurya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ipo hivi, wewe unaongelea haya katika mitazamo ya wanaume kuwa ni wakorofi. Ila unasahau kuna wanawake wanavisirani sana.
Mwanaume chakula amenunua kipo ndani, gesi ipo, kuna house girl wa kusaidia majukumu, unampatia mahitaji. Ila somehow kwa sababu zenye mashiko na uvivu unafika nyumbani, umepita migahawa, Bar, umekataa offer ya kitimoto kwa washkaji unasema naenda kula nyumbani unakuta saa mbili ya jioni ndio kwanza mchele unachambuliwa mboga hazijaungwa na unanjaa balaa. Na sio mara moja ni tukio la kujirudia.
Hapo nikiuliza kwa ukali ninakuwa nimekosea kweli? [emoji848]
Najua unatetea kambi. Ila ni kazi bure mnafanya kutetea vitu ambavyo haviwasaidii badala yake vinaleta migogoro isiyo na kichwa wala miguu. Imagine kugombana na mwanaume sababu unachelewa kumuandilia chakula mara kwa mara au anasema hapendi chakula fulani au mboga fulani then unapita muda unamuandalia na pesa ameacha plus mboga kwenye friji ipo ya kutosha. Why unamchokoza mwanaume wa namna hii ili awe mkali useme anakunyanyasa?
Akiacha kula nyumbani akaanza kula huko anakopita si ndio kelele zitaanza kuwa amepata nyumba ndogo, kwann sasa mnaamua tu kuwa wazinguaji? [emoji848]