Utii wa wanawake wa kisasa

Utii wa wanawake wa kisasa

Utii sio utumwa dada.

Samahan kusema hivi lakini Unaonesha ni muhanga wa mahusiano uliyopita.

Ana victim mentality huyo.

mkuu mtaani Kuna wanawake wengi sana wanaotii kuliko anayozungumza huyo dada,
Ni kuchagua vizuri tu mwenza wa Maisha.
Exactly mkuu, hata mm nlimwambia aache victim mentality, mwanamke kaumbwa kutii na ku submit kwa mwanaume ndo nature ilivyo. Kingine utii sio utumwa wanawake wapo physically weak na sisi ndo protectors wao, ila ndo ivyo dunia imebadilishwa na mifumo ambayo wanawake wengi bila kuhoji na kuangalia undani wanafuata tu sjui feminism sjui nini... hiyo yote inawafanya waishie kuteseka tu. Kikubwa kama ulivyosema kupata mwenza mnaye endana.
 
Huyu atakuwa ni makuzi yamemuathiri watu watapiga mashine hapo ila hawataoa.
ni kabishi sana, hataki ashindwe mwanzo nilimuambia kama anaishi hivyo kupata mwanaume wa kumwelewa itakuwa shida, japo ana point ila ime base kwenye negativity mwanamke kaumbwa ku submit kwa mwanaume, ila wanawake wa sikuhizi wanaichukulia ni udhaifu
 
Kuwa na mke zaidi ya m'moja haina uhusiano na kutojiamini. Inahusiana na tabia au psychology ya mwanamke ambayo huwa haimruhusu kupendwa au kupewa attention na mwanaume akiwa pekee yake wanawake hii kitu hawapendi.

Wanawake wanapenda kuwapo na wanawake wenzake ili wamuonyeshe utamu wa mwanaume. Kama unabisha then jifanyie tathimini hata wewe uwe na mwanaume anakupa attention kali 24/7 anataka game kila siku tena anapeleka moto ile ya balaa wadhani utavunga muda mrefu ipo siku tu utajikuta umesanda unaomba poo na unawish angekuwa na mke.

Imagine kuwe na majukumu unafanya, kulea watoto, kusimamia nyumba, biashara, halafu bado mwanaume atake attention yako bado atake usiku kila siku wewe utaweza hiyo?

So kuwa na wanawake zaidi ya moja ni jambo ambalo ninyi watoto wa siku hizi huwa mnalitazama juu juu sana. Hamlitazami ile deep.
Hapa umeongea kujifurahisha, kwa nguvu gani mnazomiliki?? Mmekuwa wahanga wa kutafuta njia na mbinu za kuwalizisha wanawake. Nyie wanaume wa kisasa mnapitia magumu mpk mmeamua na nyie kutafuta wa kuwalea. Wengine wameamua kuwa km sisi, tatizo vipira vinawasuta.!!

Mke mmoja anakushinda kumuhudumia ndio mtaweza wawili?? Wewe endelea kujidanganya, zama zimebadilika
 
Kuwa independent hiyo sio hoja ya msingi kwa mwanaume ni sawa na yeye aseme ameshatembea na wanawake wazuri wengi sana, wewe hiyo hoja kwako inakuwa inakupa msituko au hamasa gani ya kuwa nae? So similarly wanaume ukituambia kuwa upo independent hiyo unataka tuipokee vipi kwamba itatupa sisi wanaume benefits gani in the short and long run? [emoji848] Anyways, point of correction mwanaume haingii kwenye maisha yako ni wewe unaingia kwenye yake. Kama anaingia kwenye maisha yako how comes yeye ndie analipa bills wewe ukiwa unarelax tu kwakuwa ni mwanamke?

Kwanza kitendo cha kusema "akiweza kufit vigezo vyangu" tayari inaonyesha wewe sio mwanamke wa kuwa na adabu au utii na mwanaume sababu una haiba ya kiume ya kutaka kuwa na maamuzi juu ya mwanaume. Hapo utaambilia kupata mwanaume soft ambaye mtaburutana na hautafurahia mahusiano. Wanawake combative na ambao sio submissive ni ngumu sana kuattract wanaume wenye haiba ya kiume.


Kwa kifupi utakuwa unapoteza muda wako tu, kupima wanaume sio kazi yako utakuwa ni sawa na kucheza mieleka na nguruwe kwenye tope mtachafuka ila yeye atafurahia. Wewe kupima mwanaume atakulia timing akukule na kukuacha solemba. Ukijastukia miaka 20 imepita umeliwa na wanaume zaiid ya 10 na uzee umekuvaa. Sasa kama wewe unaona mimi naongea comedy hapa basi wacha muda useme.
Kila mmoja mwanamke na mwanaume anaingia kwenye maisha ya mwenzake. Ndiomana wote mnaacha familia zenu mnaungana kuanzisha familia yenu. Hiyo yako ya kusema naingia kwenye maisha ya mwanaume ni UJINGA.

Halafu wanaume wengi hampendi mwanamke independent sababu mna UKIRITIMBA na UKOLONI. Unataka mwanamke tegemezi ili umpelekeshe, zama hizi FUTA tena futa na mfutio mkubwa. Usipojipanga na kuwajibika kwenye nafasi yako basi elewa UTAPANGWA na utakuwa mwanaume lia lia kila siku.!!

Na hilo suala la eti mwanaume atanichezea na kunipotezea muda?!! Yani huyo KIDUME wa kunipotezea muda anatoka wapi?? Mwanaume MPUMBAVU anajulikana mapema na namuignore mapema kabla hajaanza kuruka ruka km bata.!! Kwahiyo kaa kwa password zama zimebadilika.
 
Kwenda zako ni wapi nimejitambulisha kama mkurya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ipo hivi, wewe unaongelea haya katika mitazamo ya wanaume kuwa ni wakorofi. Ila unasahau kuna wanawake wanavisirani sana.

Mwanaume chakula amenunua kipo ndani, gesi ipo, kuna house girl wa kusaidia majukumu, unampatia mahitaji. Ila somehow kwa sababu zenye mashiko na uvivu unafika nyumbani, umepita migahawa, Bar, umekataa offer ya kitimoto kwa washkaji unasema naenda kula nyumbani unakuta saa mbili ya jioni ndio kwanza mchele unachambuliwa mboga hazijaungwa na unanjaa balaa. Na sio mara moja ni tukio la kujirudia.

Hapo nikiuliza kwa ukali ninakuwa nimekosea kweli? [emoji848]

Najua unatetea kambi. Ila ni kazi bure mnafanya kutetea vitu ambavyo haviwasaidii badala yake vinaleta migogoro isiyo na kichwa wala miguu. Imagine kugombana na mwanaume sababu unachelewa kumuandilia chakula mara kwa mara au anasema hapendi chakula fulani au mboga fulani then unapita muda unamuandalia na pesa ameacha plus mboga kwenye friji ipo ya kutosha. Why unamchokoza mwanaume wa namna hii ili awe mkali useme anakunyanyasa?

Akiacha kula nyumbani akaanza kula huko anakopita si ndio kelele zitaanza kuwa amepata nyumba ndogo, kwann sasa mnaamua tu kuwa wazinguaji? [emoji848]
Lazima utakuwa mkurya 😂😂😂

Sasa hapo tatizo ni lako, nikuulize swali? Huyo mkeo una uhakika moto unampelekea kisawasawa?? 🤣🤣

Hebu anza kumshughulikia uone km atachelewesha chakula, unajua hayo mambo mengine huwa mnapuuza sana.!! Mwanamke anayekatwa KIU yake kisawasawa lazima awe na NURU na UCHANGAMFU.!! Show ikiwa ya viwango vya FIFA lazima mke ashinde anafikiria utraamu na hii itampelekea kuandaa kila kitu mapema ili awahi kufahidi raha za ndoa.!

Halafu siku nyingine uwe unamtoa out hata ufukweni, unampiga miti huko huko.!! Unabinjua bikini unakula mambo..! Mnarudi nyumbani mko wepesi. Show za nyumbani zinachosha. Sasa wewe endekeza kutoka na marafiki wakati rafiki yako wa kweli mnaogusanisha vitovu umemuacha km mlinda nyumba wako.!! Lazima asipike kwa wakati hiyo raha anaitoa wapi??

Hii sifundishi tena. FANYIA KAZI.
PIGA MITI KIJANA HUYO MKEO HAJAJA KWAKO KUCHEZA NA MASUFURIA, KAJA KUTUKUNYIKA NA KUKUJAZIA UKOO 😜🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
IMG_6858.jpeg
 
Jisemee wewe binafsi na nafsi yako ila usiwasemee wenzako huku nje tunaokutana nao wanaitafuta ndoa kuliko hata kazi na wengine wapo makazini ila huwaambii kitu kuhusu ndoa wanataka hata ya bahati mbaya.

Ndoa anaitafuta Jennifer Lopez, anapesa na ni mzuri, sembuse ninyi ambao hata pesa ya kifurushi cha wiki kumudu ni mtihani.

Niffer yule pale ni binti mchakalikaji anakwenda Dubai, china na kwingineko ila umeona alichofanya, katafuta mwanaume amemuoa na wanapambana wote. Sasa yule ni binti anayeelewa maana na nafasi ya mwanaume hata kama anajeuri ya kutafuta pesa. We unadhani alishindwa kusema aishi kisela? [emoji848]

Ni akina ninyi tu ambao ni kwanza masikini wa kipato, mnatoka familia za kawaida na hamna ramani ya maisha kujifanya mnajua kupambana na huku uhalisia wa maisha yenu ni kuomba pesa tena kwa exchange ya kupelekwa location kuliwa ili mpost.

Sasa wewe kama unahisi unahiyo jeuri unayosema uko nayo nakupa hapa count down. Mwanamke una miaka 10 tu ya kuringa na kuleta mbwe mbwe za usichana, baada ya hapo utazolewa na mwanaume yoyote ambaye atakuwa available ukigoma utajiongezea mateso ya hisia na utakuja olewa na kituko cha mwanaume kuliko mwanaume uliyemdharau kuliko wote.

Hesabu miaka 10 kutokea umri wa miaka 16. kutoka 16 hadi 26 ni miaka 10 yenyewe. Sasa sijui wewe umri gani. Kama umevuka 26 then count down imeanza ukielekea 30 ambayo ni umri wa lala salama. Tafuta hela uje ulelee Marioo na wanaume za watu matapeli ila kupata mwanaume wako wa ndoto sahau utabakia kuota ila hauta muona.

Kama unabisha hata twende kazi.
Niffer kaoa hajaolewa, na kwa taarifa yako yuko na mchungaji anahudumia.!! Zile mbwembwe zote anayesimamia show Pastor na bado ana mibuzi yake mingine pembeni. Yule jamaa mchovu mlamba lips ndio sample yako wewe.!! Limekaa km zube, siku niffer akichafukwa anakuja jf kulaumu wanawake km ulivyo.!!

Halafu zemanda hunijui acha kusema km unanijua sana.!! Sina pesa nyingi, ila za kukuweka wewe ndani na kukulisha na kukukatia bima ya afya yako mpk unakufa hizo ninazo na wala sijisifii.!! Ila sio sababu ya kulilia ndoa kwa mwanaume mjinga na mwenye mentality ya kizee na kikoloni km yako.!!
Wewe unataka kumiliki mke wakati sio muwajibikaji, hiyo utawapata wanawake wabovu na wasiojielewa.!!

Hiyo miaka unayonipa nakupa kiti 🪑urelaxxxx utasubiri saaanah!! Mimi mwanaume namchukulia km hitaji la mwisho, hata hiyo ndoa vivo hivyo. Ni vitu ambavyo najua muda wowote vipo na hata nisipovipata haviniumizi kichwa. Kwahiyo utajichosha kusubiria eti tulilie ndoa uchwara zilizojaa wanaume wavivu, wakoloni, na wajinga.
 
Back
Top Bottom