Utii wa wanawake wa kisasa

Sasa. Anatokea punda anakomaa kabisa anasema haijalishi. Mwanaume lazima aheshimiwe!!! No thank you:
 
Sidhani kama respect inategemea mtu ahudumiwe, hata kama anahudumiwa bado kutawaliwa ni jambo jingine (mtawala go directly proportional with command) bado hailipi
 
Sasa kumbe umeliona tatizo. Nyinyi huwa mnatukana wanawake generally as if huwa hakuna wema. As if wanawake wote wana tabia mbaya ndo maana tunapopoana na tutaendelea kupopoana hadi hizi mada za kutukana na kudhalilisha wanawake ZIFE! zimekua too much na hamtaki wanawake wajitetee na akitokea mmoja akatolea mifano yenu mnamwita feminist. acha na wanawake tuelezee upande mbaya tunaouona kuhusu wanaume kwanini mnataka nyinyi tu ndo muongelee mabaya ya wanawake as if jamii imechafuliwa na wanawake pekee.
 
Ila utii ni kwa faida ya mwanamke asipotii atakuwa single mama
 
Tunawafahamu wanaume wanaotundikwa kichwa chini miguu juu kusachiwa hadi silver na bado hawaheshimiwi. Habari za kuhudumia mwanamke hatujawahi kukataa ila nao wako kama mgodi uliokufa, unaweza uhudumia hadi ufilisike lakini bado tu tabia hovyooo.....
 
Uzi ufungwe...!😍
 
Jada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…