Utii wa wanawake wa kisasa

Utii wa wanawake wa kisasa

_ Men and women should be treated accordingly, Mwanaume kuwa mlevi, malaya, mvivu au masikini won't change the fact that he is a man.

_ Mwanaume hawezi kua mwanamke sababu ni mlevi au sababu ni masikini, vilevile mwanamke hawezi kua mwanaume kwa sababu anatafuta pesa.

_ If u can't grasp such a small concept then siku zako za kujuta zimekaribia.
Wewe jamaa una akili kubwa sana, where was i to see your account siku zote hizo..?
Una akili sana mkuu. Hawa feminist wakija kuelewa kwamba Truth is ever to be found in simplicity, and not in the multiplicity and confusion of things watakuwa wamepiga hatua kubwa sana.
 
Mwanaume wako ndio ana tabia hizi? Mbona mtoa mada hajataja izo sifa popote. Nimekuona mara kadhaa unapenda kuchafua kwanza image ya wanaume kwa assumptions zako binafsi ndio utengeneze hoja, izo sifa ulizozitaja hata mwanamke anaweza kuwa nazo. Suala la mmong'onyoko wa maadili kwa wanawake ni tatizo kwa sasa tena hao wanaume wema ndio victims wakubwa ukilinganisha na bad boyz unaowasakama.
Huyo dada nilishindwana nae hapo tu, mnajadili mambo mengine, yeye analeta mifano ya wanaume anaokutana nao yeye wenye peculiar characters ambazo hata sisi wanaume zinatushangaza. Hajawahi kuwaza kwamba kuna bright side pia. Mungu amsaidie sana akutane na wanaume wazuri wanaojielewa ili angalau apone trauma zake.
 
_ Tatizo akili yako iko shallow to the point unashindwa kuelewa mambo. Ulicho kielewa sicho nilicho kiandika ( misinterpretation ), na hili ndio tatizo kubwa walilonalo mafeminist wote.

_ Hakuna kiumbe kinachoishi duniani kinachostahili kutendwa ubaya, Ubaya unaexist sababu ya uwepo wa watu wabaya (that's human nature). I wrote " treated accordingly ". A man should be treated as a man, and a woman should be treated as a woman.
Kaka una akili sana. I am following you right away. Kama ungekuwa mwalimu au kama ni mwalimu basi wanafunzi wako watakuwa wanaelewa sana. Huyo dada hayo matatizo yote uliyo notice kwake ni kweli anayo na ni zaidi ya watu 10 washamwelekeza ila ni mbishi kushinda maelezo.
 
Back
Top Bottom