Utii wa wanawake wa kisasa

Utii wa wanawake wa kisasa

Kama unaona mwanaume hawajibiki kumhudumia mpenzi kwanini uone ni sawa mwanamke kumtii mpenzi

Ndio maana nasema wewe una matatizo ya akili, huwezi ukawa unaongelea my personal issues kwa confidence kiasi hiki kana kwamba unanijua kumbe hata hunifahamu, na huna uhakika hata kama ulichoandika kuhusu mimi ni ukweli au la ila basi tu umeamua kujiandikia ili mradi kujifariji
Hii vita yenu naifatilia kwa karibu kabisa, nyie mkioana hiyo ndoa itadumu sana, nina jicho la maono.
 
Sasa mbona ndicho nilichoandika tangu mwanzo ila wewe ukasema nazunguka, kumbe shida ni uelewa wako tu halafu unasingizia watu wanatoka nje ya mada, uwe unasoma kwa umakini siyo unasoma haraka haraka mradi tu uje ubishe
Happy 👏 👏
 
Kutokana na malezi ya kisasa na mifumo ya kisasa ya maisha ile kanuni ya mtii mwanaume wako kwa wanawake wa kisasa ni kitu ambacho hawakielewi kabisa wala kujua maana yake wakiwa katika umri wa usichana au umri wa kuchumbiwa na kuolewa.

Ila asili au nature ilivyo na power katika kufundisha kanuni zake za asili bila kupangiwa au kubembeleza mtu utashangaa sana binti akisha chezewa sana mwili wake akafikia ule umri wa utu uzima yaani 30,then mwili unaanza kupungua mvuto, anaanza kuwa na muonekano wa kimama, automatically utashangaa anaanza kuwa na adabu na yale mawenge, machepele, viburi, dharau ghafla hupotea anaanza kuwa na mwenendo wa utaratibu na anatengeneza haiba ya kukua kiakili.

Huwa najiuliza why huwa mnakwepa kitu ambacho mtakuja kukifanya siku za baadae tena kwa lazima?

Hapa tunaongea swala la utii na adabu kwa mwanaume ila mabinti kama akina Jadda watakaza fuvu kabisa na majibu ya kejeli ila subiri umri ufike. Kama kuna kamera za kuwamulika hamtaamini kuwa ndio wataufyata kuliko wale ambao ndio watii kwasasa.

Usiponyooka utanyooshwa, maisha hayajawahi na wala hatakuja kuwahi kubembeleza mtu, utakwenda vile yanavyotaka. Kanuni ya kutii mume na mke kupendwa ni ya miaka ya enzi na enzi. Wewe mtoto wa 1990's uje kuleta kanuni zako na kuamulia jamii iende kwa fikra zako utajua haujui, mtego utakapokufyatukia ndipo utaelewa maisha ni kama upepo, yapo ila hayashikiki.
Ukipata mke mwenye jeuli hakutii kama huna watoto mpige chini fasta
Kama mna watoto basi ishi naye kwa akili , pretend kumpenda, piga miti afike kileleni , fanya issue zako , plan issue za maendeleo Kuwa makini kwenye umiliki mali make sure hati miliki ni jina lako siku moja moja tafuta kitu cha nje piga mti akili ikae sawa ... usishindane naye hayo ndo makuzi yake utapoteza muda wako
 
Back
Top Bottom