Hajto JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 5,646 Reaction score 5,606 Feb 8, 2014 #1 Jamani salama humu jamvini,mtaani kwetu kuna mdada ambaye mtoto wake anatatizo la utindio wa ubongo,Je mnampa ushauri gani wa kitabibu humu jamvini
Jamani salama humu jamvini,mtaani kwetu kuna mdada ambaye mtoto wake anatatizo la utindio wa ubongo,Je mnampa ushauri gani wa kitabibu humu jamvini
MissM4C JF-Expert Member Joined Aug 31, 2012 Posts 1,740 Reaction score 1,005 Feb 9, 2014 #2 awaone madaktari tiba yake ni multidispline
Hajto JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 5,646 Reaction score 5,606 Feb 9, 2014 Thread starter #3 MissM4C said: awaone madaktari tiba yake ni multidispline Click to expand... Thanx,bei yake inaweza ikawa kwenye ngapi
MissM4C said: awaone madaktari tiba yake ni multidispline Click to expand... Thanx,bei yake inaweza ikawa kwenye ngapi
U Undu JF-Expert Member Joined May 18, 2013 Posts 3,527 Reaction score 1,892 Feb 9, 2014 #4 mazina said: Thanx,bei yake inaweza ikawa kwenye ngapi Click to expand... Mpeleke kwa madactor wa watoto atapimwa ubongo na kupewa dawa na mazoezi uwahi mapema asifike miaka 5
mazina said: Thanx,bei yake inaweza ikawa kwenye ngapi Click to expand... Mpeleke kwa madactor wa watoto atapimwa ubongo na kupewa dawa na mazoezi uwahi mapema asifike miaka 5