Depretty
JF-Expert Member
- Jun 14, 2013
- 248
- 99
nawasha kwenye mashavu ya uke na sehemu za juu juu kwenye uke...muwasho sio wa kila mara ila inapotokea kujikuna nahis raha japokua badae nahic maumivu yaan kama michumbuko...mkojo nao nia wa njano sana!
je kunauwezekano nikawa na maambukiz ya UTI?? NA Tiba yake ni nin!!??
je kunauwezekano nikawa na maambukiz ya UTI?? NA Tiba yake ni nin!!??