KERO Utitiri wa ‘Bandari kavu’ kila mtaa Tabata jijini Dar. Nini kinaendelea?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Insidious

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2020
Posts
749
Reaction score
1,023
Hivi inakuaje bandari kavu zinafunguliwa kila mahali?

Kwa sasa Tabata nayo imekuwa kama kurasini kila mtaa kuna malori. Viongozi wa mitaa hawapo? Mipango miji hawapo?

Tuspoangalia hili litakuwa tatizo hapo!

Ninachokiona wanatuzuga na mipango ya kuendeleza makazi Sinza huku wakiongeza hizo bandari kavu mitaa mingine.
 
Tabata icd ipo sehemu gani mkuu???
 
na wewe fungua yako tuendelee kukerana mjini
 
 

Attachments

  • 1000024076.jpg
    45.1 KB · Views: 12
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…