Ile ya kudhibiti madalali umeiweka hapo?Wenzetu wanawaza kuendeleza ubunifu (innovation) kila sekta. Hapa Tanganyika tunawaza kudhibiti na kubunya kila uchwao, zifuatazo Ni mamlaka za Udhibiti;
1. EWURA,
2. LATRA,
3. TCRA,
4. TCU,
5. NACTVET,
6. NEMC,
7. OSHA,
8.
9.
NB: Bado kudhibiti wadangaji.
Usisahau na Bodi za mazao ambapo badala ya kutafiti na kuendeleza mazao wao wanadeal na soko sambamba na kupanga beiWenzetu wanawaza kuendeleza ubunifu (innovation) kila sekta. Hapa Tanganyika tunawaza kudhibiti na kubunya kila uchwao, zifuatazo Ni mamlaka za Udhibiti;
1. EWURA,
2. LATRA,
3. TCRA,
4. TCU,
5. NACTVET,
6. NEMC,
7. OSHA,
8.
9.
NB: bado tunawaza kufikia Middle -income country by 2025?
Ha ha ha. Na mgao wa V8 wanapata?Usisahau na Bodi za mazao ambapo badala ya kutafiti na kuendeleza mazao wao wanadeal na soko sambamba na kupanga bei
Mhe Polepole inabid awasujudie na zile dawa zake za CubaBalaa la TMDA huwa sio la kitoto
Wapumbavu sana.Ha ha ha. Na mgao wa V8 wanapata?
Mamlaka za udhibiti kwa mujibu wa sheria ni tatu tu. Lakini ni kweli hata watawala wenyewe hawajui tofauti katoka ya Taasisi za Serikali na mamlaka za udhibiti. RIP Mzee Mkapa!Wenzetu wanawaza kuendeleza ubunifu (innovation) kila sekta. Hapa Tanganyika tunawaza kudhibiti na kubunya kila uchwao, zifuatazo Ni mamlaka za Udhibiti;
1. EWURA,
2. LATRA,
3. TCRA,
4. TCU,
5. NACTVET,
6. NEMC,
7. OSHA,
8. TBS,
9. TMDA,
10. TARURA/TANROADS,
11. TIRA/NIC,
12. Bodi ya Korosho,
13. Bodi ya Mazao Mchanganyiko,
14. BASATA,
15. Bodi ya Filamu,
NB: bado tunawaza kufikia Middle -income country by 2025? Tume ya Mipango wanafanya nn ofisin?
Mamlaka ya wapiga nyeto bado iko ktk hatua za mwisho sambamba na hiyo ya pumzi tuwe na subira serikali sikivu inashughulikiaBado sijaona mamlaka ya kudhibiti pumzi hapo😂
Na wanao jambajamba hovyoBado sijaona mamlaka ya kudhibiti pumzi hapo😂
Mama ameshaanza kazi ya kuunganisha na kufuta taasisi na mashirika kama hayo.Wenzetu wanawaza kuendeleza ubunifu (innovation) kila sekta. Hapa Tanganyika tunawaza kudhibiti na kubunya kila uchwao, zifuatazo Ni mamlaka za Udhibiti;
1. EWURA,
2. LATRA,
3. TCRA,
4. TCU,
5. NACTVET,
6. NEMC,
7. OSHA,
8. TBS,
9. TMDA,
10. TARURA/TANROADS,
11. TIRA/NIC,
12. Bodi ya Korosho,
13. Bodi ya Mazao Mchanganyiko,
14. BASATA,
15. Bodi ya Filamu,
16. Tume ya Madini,
17. Baraza la Wafamasia.
NB: bado tunawaza kufikia Middle -income country by 2025? Tume ya Mipango wanafanya nn ofisin?
SahihiKama serikali haina uwezo wa kutengeneza ajira nyingi ambazo ni zalishi, inatengeneza ajira chache ambazo ni kandamizi. (wanyapara)