Ustaadhi 22
JF-Expert Member
- Sep 5, 2021
- 996
- 1,907
Wma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka na WMAWenzetu wanawaza kuendeleza ubunifu (innovation) kila sekta. Hapa Tanganyika tunawaza kudhibiti na kubunya kila uchwao, zifuatazo Ni mamlaka za Udhibiti;
1. EWURA,
2. LATRA,
3. TCRA,
4. TCU,
5. NACTVET,
6. NEMC,
7. OSHA,
8. TBS,
9. TMDA,
10. TARURA/TANROADS,
11. TIRA/NIC,
12. Bodi ya Korosho,
13. Bodi ya Mazao Mchanganyiko,
14. BASATA,
15. Bodi ya Filamu,
16. Tume ya Madini,
17. Baraza la Wafamasia.
NB: bado tunawaza kufikia Middle -income country by 2025? Tume ya Mipango wanafanya nn ofisin?
Kila mtu apateCAMARTEC eti wanadhibiti vifaa vya kilimo ukileta toka nje wanachaji sio chini ya laki tano wakati hata kukagua hawakagui sijui pesa wanapeleka wapi ? na baado wanamuongezea gharama mletaji !
Tanzania Private Health Laboratory Agency lazima wakague vifaa vyako vya maabara na wakutoze pesa !
TBS nao hata kama vitu haviwahusu mfano mashine kilimo kama Tractor wanalazimisha waku charge tena pesa nyingi tu ! hivo kumuongezezea gharama mletaji !!!
Haitoshi bado, waongeze zingine. Wapumbavu kama wewe bila kudhibitiwa nchi haiendiWenzetu wanawaza kuendeleza ubunifu (innovation) kila sekta. Hapa Tanganyika tunawaza kudhibiti na kubunya kila uchwao, zifuatazo Ni mamlaka za Udhibiti;
1. EWURA,
2. LATRA,
3. TCRA,
4. TCU,
5. NACTVET,
6. NEMC,
7. OSHA,
8. TBS,
9. TMDA,
10. TARURA/TANROADS,
11. TIRA/NIC,
12. Bodi ya Korosho,
13. Bodi ya Mazao Mchanganyiko,
14. BASATA,
15. Bodi ya Filamu,
16. Tume ya Madini,
17. Baraza la Wafamasia.
18. WMA,
NB: bado tunawaza kufikia Middle -income country by 2025? Tume ya Mipango wanafanya nn ofisin?