Utitiri wa Mamlaka za Udhibiti (Regulatory authorities)

Weka na WMA
 
Kila mtu apate
 
Kitoboa bongo kihalali ni ngumu sana,vikwazo bi vingi sana,kuna kipindi nilifungua bucha ya nyama nilikimbia mwenyewe TRA wanataka chao,Bodi ya nyama wanataka chao,halmashauri inaataka chake,bado ma bwana na bibi afya kila siku wapo mlangoni ni mwendo wa kugawana faida tu.
 
Haitoshi bado, waongeze zingine. Wapumbavu kama wewe bila kudhibitiwa nchi haiendi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…