Generali12
New Member
- Sep 1, 2018
- 1
- 5
Kuna yale ya CCM inawatakia heri ya sikukuu ya sabasaba!Wengine ambao huwa hatupendelei kabisa kuchati, meseji inaingia unajua itakuwa ya msingi, unafungua unakutana na unsolicited content, inakera sana.
Of course mboga mboga wanaudwanzi mwingi sana, asabuhi asubuhi mtu unakutana na matext ya Tunza amani mara tuheshimiane. 🚮Kuna yale ya CCM inawatakia heri ya sikukuu ya sabasaba!
Hili jambo hata mimi linanikera sana. Alafu sijui ni wapi mteja anasema anakubali matangazo yao. Na lazima watuwekee sehemu ya kuzuia matangazo yaoSalaam Wana JF,
Naomba nitoe hoja ambayo naamini wengi wetu tumekuwa tukiikumbana nayo kila siku, lakini pengine hatujapata nafasi ya kuizungumza kwa uzito unaostahili.
Kero ya SMS za matangazo kutoka kwa kampuni za simu imezidi kuwa kubwa. Karibu kila siku tunapokea ujumbe wa matangazo ya vifurushi, promosheni na huduma mbalimbali, mara nyingi bila kuomba kuyapokea.
Kinachokera zaidi ni pale simu inapotoa mlio wa ujumbe, ukadhani ni taarifa muhimu au muamala uliokuwa ukiusubiri kwa hamu, hasa baada ya kuahidiwa kutumiwa fedha au kupokea taarifa muhimu. Unapofungua ujumbe, unakutana na tangazo la bidhaa au huduma za mtandao unaoutumia. Hali hii husababisha usumbufu, kupoteza muda na wakati mwingine kukatisha tamaa.
Tunatambua kuwa matangazo ni sehemu ya biashara, lakini yanapaswa kuwa na mipaka. Wateja wanapaswa kuheshimiwa kwa kupewa fursa ya kuchagua kama wanataka kupokea matangazo hayo au la, badala ya kuyatumwa kwa wingi bila ridhaa yao.
Ni wakati sasa kwa TCRA kutafuta suluhisho la kudhibiti utitiri huu wa SMS za matangazo.
Line ya Nyaashi mixxer ndio inaongoza kwa message nyingi za matangazo ikifuatiwa na halotel. Walinifanya nikaziweka lines zao kwenye kiswaswadu cha housegirl.Salaam Wana JF,
Naomba nitoe hoja ambayo naamini wengi wetu tumekuwa tukiikumbana nayo kila siku, lakini pengine hatujapata nafasi ya kuizungumza kwa uzito unaostahili.
Kero ya SMS za matangazo kutoka kwa kampuni za simu imezidi kuwa kubwa. Karibu kila siku tunapokea ujumbe wa matangazo ya vifurushi, promosheni na huduma mbalimbali, mara nyingi bila kuomba kuyapokea.
Kinachokera zaidi ni pale simu inapotoa mlio wa ujumbe, ukadhani ni taarifa muhimu au muamala uliokuwa ukiusubiri kwa hamu, hasa baada ya kuahidiwa kutumiwa fedha au kupokea taarifa muhimu. Unapofungua ujumbe, unakutana na tangazo la bidhaa au huduma za mtandao unaoutumia. Hali hii husababisha usumbufu, kupoteza muda na wakati mwingine kukatisha tamaa.
Tunatambua kuwa matangazo ni sehemu ya biashara, lakini yanapaswa kuwa na mipaka. Wateja wanapaswa kuheshimiwa kwa kupewa fursa ya kuchagua kama wanataka kupokea matangazo hayo au la, badala ya kuyatumwa kwa wingi bila ridhaa yao.
Ni wakati sasa kwa TCRA kutafuta suluhisho la kudhibiti utitiri huu wa SMS za matangazo.
Kwani kwa siku wanatuma hata sms ngap?Line ya Nyaashi mixxer ndio inaongoza kwa message nyingi za matangazo ikifuatiwa na halotel. Walinifanya nikaziweka lines zao kwenye kiswaswadu cha housegirl.
Ni kero sana.Kuna yale ya CCM inawatakia heri ya sikukuu ya sabasaba!