mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Bahasha zilizoenda shule, kwa nini usishinde mfululizo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Match ni jumatano. Sivyo?Komeo lachuma umebakiza masaa kadhaa tu ya kuonekama hapa jf baada ya mechi Tunisia utaingia mitini kama kawaida yako maana huko bahasha hazina nafasi.
Kuna moja imeshiba halafu nyingine imekonda
Mbona huwa zinasaidia hata kwa Simba?Komeo lachuma umebakiza masaa kadhaa tu ya kuonekama hapa jf baada ya mechi Tunisia utaingia mitini kama kawaida yako maana huko bahasha hazina nafasi.
Weka ushahidi kama nilivyoweka mimi.Mbona huwa zinasaidia hata kwa Simba?
Ile iliyoshiba ni ya mwamuzi wa kati, zilizokonda wanapewa vibendera!Kuna moja imeshiba halafu nyingine imekonda
Na bado CEO wake akachaguliwa kuwa makamu mwenyekiti wa CAF kamati ya mashindano. Basi simba ni konyo dadekiSimba ndio timu ambayo walihusishwa na rushwa Kwa kumtumia mchezaji wake wa Zamani Ulimboka Mwakingwe na aka kamatwa kupigwa makofi na kunyang'anywa fedha za hongo. Uku aliyekua kocha wa Mtibwa Abdalah kibadeni alisema anao ushahidi viongozi wa Simba walitaka ku mhonga na ushahidi ukapelekwa Tff na mambo yali Isha kimyakimya.
Kwenye Ulozi Simba inatambulika na CAF kua klabu inayotumia ndumba zaidi barani Afrika na kupigwa Rungu na CAF Kwa tabia hiyo.
Kupulizia madawa vyumbani, timu nyingi zilisha peleka malalamiko Yao Caf juu ya tabia iyo ya Simba.
Kwasasa Caf Wana walia timing Ili kukomesha tabia hiyo .
Weka ushahidi hapa acha longo longo!!Simba ndio timu ambayo walihusishwa na rushwa Kwa kumtumia mchezaji wake wa Zamani Ulimboka Mwakingwe na aka kamatwa kupigwa makofi na kunyang'anywa fedha za hongo. Uku aliyekua kocha wa Mtibwa Abdalah kibadeni alisema anao ushahidi viongozi wa Simba walitaka ku mhonga na ushahidi ukapelekwa Tff na mambo yali Isha kimyakimya.
Kwenye Ulozi Simba inatambulika na CAF kua klabu inayotumia ndumba zaidi barani Afrika na kupigwa Rungu na CAF Kwa tabia hiyo.
Kupulizia madawa vyumbani, timu nyingi zilisha peleka malalamiko Yao Caf juu ya tabia iyo ya Simba.
Kwasasa Caf Wana walia timing Ili kukomesha tabia hiyo .
CEO Barbara kule CAF watu wamepigiana pande, mengine siongei ila watuwazima wananielewa.Na bado CEO wake akachaguliwa kuwa makamu mwenyekiti wa CAF kamati ya mashindano. Basi simba ni konyo dadeki
Sasa ulitaka upigiwe pande wewe mpaka unamwonea wivu babra hahahaCEO Barbara kule CAF watu wamepigiana pande, mengine siongei ila watuwazima wananielewa.
Kwa ujumla Senzo na Motsepe wanajua wanacho kifanya[emoji1][emoji1]
Hii match tulikuwa tunacheza na Simba. Ndo tukawapa tukaja wafunga.. so zinatusaidia hata tunapocheza nanyi.
Alikuwa hajakuelewa.Hii match tulikuwa tunacheza na Simba. Ndo tukawapa tukaja wafunga.. so zinatusaidia hata tunapocheza nanyi.
Tumesema safarihii tunafumua vichaka vyote mnavyo jifichiaWeka ushahidi hapa acha longo longo!!