Uto wataalamu wa kucheza nje ya uwanja: Ujanja wa hapa hapa, kimataifa majanga!

Simba ndio timu ambayo walihusishwa na rushwa Kwa kumtumia mchezaji wake wa Zamani Ulimboka Mwakingwe na aka kamatwa kupigwa makofi na kunyang'anywa fedha za hongo. Uku aliyekua kocha wa Mtibwa Abdalah kibadeni alisema anao ushahidi viongozi wa Simba walitaka ku mhonga na ushahidi ukapelekwa Tff na mambo yali Isha kimyakimya.
Kwenye Ulozi Simba inatambulika na CAF kua klabu inayotumia ndumba zaidi barani Afrika na kupigwa Rungu na CAF Kwa tabia hiyo.
Kupulizia madawa vyumbani, timu nyingi zilisha peleka malalamiko Yao Caf juu ya tabia iyo ya Simba.
Kwasasa Caf Wana walia timing Ili kukomesha tabia hiyo .
 
Na bado CEO wake akachaguliwa kuwa makamu mwenyekiti wa CAF kamati ya mashindano. Basi simba ni konyo dadeki
 
Weka ushahidi hapa acha longo longo!!
 
Na bado CEO wake akachaguliwa kuwa makamu mwenyekiti wa CAF kamati ya mashindano. Basi simba ni konyo dadeki
CEO Barbara kule CAF watu wamepigiana pande, mengine siongei ila watuwazima wananielewa.
Kwa ujumla Senzo na Motsepe wanajua wanacho kifanya[emoji1][emoji1]
 
CEO Barbara kule CAF watu wamepigiana pande, mengine siongei ila watuwazima wananielewa.
Kwa ujumla Senzo na Motsepe wanajua wanacho kifanya[emoji1][emoji1]
Sasa ulitaka upigiwe pande wewe mpaka unamwonea wivu babra hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…