Utoaji dhahabu kwenye mawe

Utoaji dhahabu kwenye mawe

If you are serious na iyo kitu ni pm namba yako.Tunweza tuka share kitu..iff u are real serious
 
iyo ni gold kaka na kama unapata (krasha)unasaga ayo mawe na inatoka gold safi.maelezo zaidi njoo pm
 
nilicho gundua kwenye hayo mawe copper all nyingi na copper uwa inaambatana na dhahabu lakini copper ikiwa nyingi dhaabu itakuwa kidogo kapime kwanza TMAA ili uwenauhakika na unachofanya
 
Habarini mimi nina mgodi wangu ninaoumiliki kwa mujibu wa sheria hapa katavi nina primary mining licence na nimeilipia tatizo nina toa mawe (gold ores) nimetumia watu nikagundua si waaminifu ,sasa naomba ushauri niende wapi kujifunza kuextraract gold ,wengi wanasema nitumie mercury ila wengne wanadai kuna chemical nyingne bora ,mpaka sasa nina taniya mawe (gold ore)

The only..vp mgodi unaendeleaje?
 
Back
Top Bottom