Utoaji Majina ya Viongozi katika Miundombinu ya nchi kusiwe ni kwa Mihemko, Unafiki, Ushkaji na Kukurupuka

Ngongo interchange ingependeza zaidi.
 
Unazidi kudhihirisha ujinga wako, jaribu kuuficha huenda utakufaa huko mbeleni.

Jadili hoja sio majina ya mtoa hoja, kama una akili timamu enewei!
Unazid kuudhihirisha upumbavu wako. Jaribu kuuficha huenda ukakufaa huko mbeleni.

Jibu swali uliloulizwa kwani unaona aibu ya nini kujitambulisha?
 
Kijazi=Tanroads
Mfugale=Tanroads
Magufuli=Wizara ya ujenzi (enzi za JK)

Najaribu ku connect dots, wote walikuwa wizara moja enzi za JK.
Ndege wafananao huruka kundi moja
 
Nawahurumia ambao mpaka leo mnamchukulia Magu serious.

Alishawahi kuropoka, shule ya msingi fulani hapa Dar iitwe Ally Hapi.

Kumchukulia serious huyo psychiatric case, kujiumiza mnoo nafsi.

Soon huko Kisarawe utasikia kuna shule inaitwa Jokate Mwegelo.

Yule tulipigwa, Mkapa alichofanya Mungu ananwona!!!
 
Tulia hapo hapo wewe Mtanzania Mnyonge! Kwa taarifa yako tuna mkakati kabambe wa kuiita miradi yote na vituo vyote vya serikali kuanzia vile vya polisi, afya, ushuru, ukaguzi, nk. majina ya watu wetu maarufu!

Usishangae kusikia kituo kimojawapo cha polishi mfano kile cha shentrol kiitwa Mamboshasha Polishi Shtesheni!!😇

Lazima tuwaenzi Mashujaa wetu bhana!! Na wewe ukitaka kuwa shujaa!!!
 
Mbona unateseka?
Majina yamekwisha kutolewa,Basii ! ILA USHAURI WANGU NI HUU:
Majina yaliyotolewa yaandikwe "majina matatu ya mhusika kwa kirefu".Nimepita daraja la ubungo Jana jioni,Pameandikwa Jina moja TU "KIJAZI'..Sasa Hawa "vijazi wapo Wengi Tanzania,hasa huko Tanga.Baada ya 5 yrs to come,Kizazi kijacho hakitajua Ni KIJAZI' yupi hasa Anaye-Enziwa.PIA KWA DARAJA LA TAZARA,NI MFUGALE YUPI anaye-enziwa.
 
Kuna Watu walijitoa mhanga kulianzisha Taifa hili na Bila wao Leo hii kusingekuwa hapa Tulipo
 
Utaratibu upo Ila ndio hivyo tena nchi inaendeshwa kidicteta hii haufuatwi
 
Kijazi=Tanroads
Mfugale=Tanroads
Magufuli=Wizara ya ujenzi (enzi za JK)

Najaribu ku connect dots, wote walikuwa wizara moja enzi za JK.
Hao ni maswahiba kwa hiyo lazima wapeane kadri inavyowezekana [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…