Nakumbuka mzee wangu alikua anatoa sana misaada kwa ndugu,jamaa na watu wa Jamii tuliyotoka huko kijini kwao, kwakweli nyumbani hatukuwahi kupungukiwa kitu tuli ishi maisha ya amani tulipata mahitaji yetu yote mhimu hata biashara zake hazikukwama hii kitu ni real