Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila hawa wakatishaji tiketi wakati mwingine wanaangalia muonekano nadhani..yaani unashangaa umepata tiketi ya dirishani then anakuja binti eti ake aisle aisee siwezi..nitampisha tu dirishani..siwezi kuwa comfortable! Nishazoea hivyo!Acha ubahili ufurahie maisha
Mpe tip konda akupe siti pemben ya pisi kali, hakuna starehe ya bure safarini [emoji4]
[emoji2] tukupandishe cheo aseeh...Ila hawa wakatishaji tiketi wakati mwingine wanaangalia muonekano nadhani..yaani unashangaa umepata tiketi ya dirishani then anakuja binti eti ake aisle aisee siwezi..nitampisha tu dirishani..siwezi kuwa comfortable! Nishazoea hivyo!
Zilikuwa zangu hizo nilipokuwa kijana [emoji28]Acha ubahili ufurahie maisha
Mpe tip konda akupe siti pemben ya pisi kali, hakuna starehe ya bure safarini [emoji4]
😃😃Safari unakua boring sana kama pembeni hamna pisiKama mwanachama wa vijana wa hovyo naomba kuwasilisha ombi kwa wakatisha tiketi, wawe wanatupanga kwa kuzingatia Gender Balance.
Safari zinakuwa ndefu sana ukiangalia back bencherz ni Girls tupu kama wapo Clinic[emoji17]
Ufiri wa mabasi ni wa watu masikini hauna usitarabu wowote mala unakti na mtu mnene kupita kiasi mala mwengine kila kituo anakula mpaka mwisho wa safari kujamba mtindo 1 mwengine kapakata mtoto wa miaka 7 au miaka 2 mala kakojoa kajisaidia harufu mbaya mala mwengine anapiga mswaki mdomo unanuka mwengine kavaa mawigi yananuka mabisi mangide mwendo kasi mabasi mengine daleva yupo kama kinyago cha makonde anaendeshwa na konda kupanda kitu kinacho tambaa kama nyoka ausilalamike[emoji2][emoji2]Safari unakua boring sana kama pembeni hamna pisi
🤣🤣🤣 kuna mkata tiketi nilimuomba aniweke pembeni ya pisi kali,tena nilifanya kumsisitizia kabisa. Kesho yake gari inakuja napandia Kibaha,bus zima mi ndio nilikaa peke angu kwenye siti.Acha ubahili ufurahie maisha
Mpe tip konda akupe siti pemben ya pisi kali, hakuna starehe ya bure safarini [emoji4]
[emoji1787][emoji1787] umepambania jina la chama kwa kweli, ubarikiwe kwa roho hyo ya upendo kwa mama na mtoto.Mwaka 2017 nilikuwa natoka mwanza basi nilipangiwa siti no16 na mjuba pembeni mwanzoni mwa safari kabisa akaja mma yuko na mtoto akaniomba nimpe siti yangu nyuma hataweza mana anayo mtoto pia hali yake kiafya sio njema ..nikasema powa nakaa hata kwenye difu nikamwambia maza shika siti nikaenda huko nyuma kwenye 40 hivi basi bhna siti nilihamia kulikuwa na mtoto mkali wa kisukuma anaenda moshi kuna kazi ameitiwa huko asee nishika mapaja mtoto anauliza naswali ya kila namna alafu mcheshi kweli japo safari ilikuwa tamu ila sikufaidi zaidi ya kumpapasa na kumlipia chakuka na soda singida pale..
[emoji1] anza kuoga na sabuni ya Unga Bro.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuna mkata tiketi nilimuomba aniweke pembeni ya pisi kali,tena nilifanya kumsisitizia kabisa. Kesho yake gari inakuja napandia Kibaha,bus zima mi ndio nilikaa peke angu kwenye siti.