Utofauti kati ya clinical medicine na clinical officer

Utofauti kati ya clinical medicine na clinical officer

MBAKI-MTEULE

Member
Joined
Feb 13, 2015
Posts
8
Reaction score
0
samahani wadau nilitaka kujua utofauti kati ya clinical medicine na clinical officer.

kwasababu vyuo vingi ukiseach for clinical officer but ukija kuangalia course za hicho chuo unakuta clinical medicine ko naomba ufafanuzi kwa anaye jua utofauti wake wadau
 
ha ha ha uelewa wa watu kadri siku znavyozidi kwenda unapungua mtu anauliza tofaut kati ya kitu kimoja lakn labda tu kwa kukutoa tongo clinical oficer nijamaa/miss aliyesomea clinical medicine
 
clinical oficer nijamaa/miss aliyesomea clinical medicine
 
Back
Top Bottom